Search results

  1. sonofdory

    Ndani ya uanaume: Mambo 3 yanayoiongoza akili ya mwanaume

    Ukimuuliza mwanamke yeyote ni aina gani ya mwanaume anayemhitaji, unaweza kukutana na majibu kama vile, mpole, mcheshi, mwenye uwezo wa kunihudumia na anayenipenda kama ninavyompenda mimi. Wakati haya yote yanaweza kuwa sahihi isipokuwa kigezo cha mwisho hapo juu, namna ambavyo wanaume...
  2. sonofdory

    Shirati College of Health Sciences

    Wanajamvi, kama kuna mtu mwenye kufaham juu ya chuo hiki tafadhali nahtaji msaada, Nipo Dar sasa ila Nimechaguliwa hapo. Kwenye web sikipati,simfaham yeyote alichaguliwa hapo na sina hata info yoyote from the college. Msaada tafadhali... Mawacliano yangu ni 0744186882
  3. sonofdory

    Kaapply CERTIFICATE badala ya DIPLOMA kimakosa! Namsaidiaje?

    Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane mawazo ya haraka wakuu tumsaidie.., inakuaje hapo!?
  4. sonofdory

    Course ya Doctor of Medicine

    Wanajanmvi nina Div 3.13 ya form 6 with DDE. Ninapata mtafaruku hapa, wanaposema kwa MD cut-off-points zinatakiwa 5, hapa ina maana wanahesabu masomo mangapi?? Ni mawili au matatu yote ya combination?
  5. sonofdory

    Siioni KCMUco NACTE

    Jamani, tusaidiane hapa tafadhali wanandugu. Mimi ninaapply diploma NACTE, nina shida na kozi za afya za KCMUco ila hiki chuo sikioni kwenye list. Tatizo liko wapi? Nafanyaje kukipata kwenye orodha ili niombe? [emoji120]
  6. sonofdory

    Naomba ushauri kuhusu diploma ya Clinical Medicine

    Wanajamvi, Mimi nmehitimu form six mwaka huu na matokeo yangu ni division 3.13 ya DDE. Sawa nina D mbili ila ndoto yangu ni kuwa daktari na kwa alama hizo siwezi kusoma degree ya udaktari! Nimeapply TCU kozi za afya ya wanyama japo sikuwa na ndoto hiyo na uhakika wa kuchaguliwa ni mdogo...
  7. sonofdory

    Nini kazi za waliosoma Bachelor of Environmental Science?

    Wakuu nahitaji msaada! Eti Bachelor of environmental science ni course unayomuanda mtu kwa career kama zipi?? Msaada tafadhali.
  8. sonofdory

    Automobile Engineerng

    Wanajamvi, naomba kusaidiwa. Eti mti aliyesomea Automobile engineering anakua na fursa za ajira gani kwa mfan0?? Msaada tafadhali.,,
  9. sonofdory

    Matokeo yangu ni DDE.

    Wakuu mimi nmehitimu cha sita kwa mchepuo wa PCB na kupata : Physics E Chemistry D Biology D G/S S BAM E. Nina ndoto ya kusoma course za afya hasa udaktari. Naomba ushauri juu ya vyuo ama course ya kusoma chuo kikuu..!!
  10. sonofdory

    Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

    Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo ya sanaa waongoza kwa kufaulu....!! Wanafunzi waliofanya mtihani huo wanatakiwa kuwa na subira tu.
  11. sonofdory

    I need help on How to make a logo??

    Guys... I have been looking for help here and there on how can I make a logo. If there is any app or website i can use please tell me..[emoji102]
  12. sonofdory

    Ni muathirika wa masturbation

    Nmekua nkifanya masturbation tangu 2012. Sasa hivi umme wangu umekua dhaifu sana siwezi hata kupiga mchezo wa dakika 5.. Nahitaji msaada wakuu.. kuna dawa gani naweza tumia??
  13. sonofdory

    Msaada wa faculty ya kusoma

    Wadau... Mimi nimehitimi kidato cha sita mwaka huu ila mchepuo wa PCB. Ila napata mkanganyiko nichague faculty gani zenye kulipa vizuri baadae. Nisaidieni jamani, Naifaham MD tu... hzo nyingine hata szijui.. Pia nisaidieni wadau.. hivi nanaweza kuapply BVM?
Back
Top Bottom