Kaapply CERTIFICATE badala ya DIPLOMA kimakosa! Namsaidiaje?

sonofdory

Member
Jul 4, 2016
78
38
Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane mawazo ya haraka wakuu tumsaidie.., inakuaje hapo!?
 
Kesho nikimaanisha 00:01 ndio kasiku kanachange.
Au nmekosea wadau au mpaka tareh 5 saa iyo
 
Mkuu Ukiambiwa Mwisho Tarehe Tano Maana Yake Ni Siku Ya Ijumaa Tarehe 5 saa 23:59:59:9

Siku Ijumaa
Tarehe 5
Saa 23
Dakika 59
Sekunde 59
Nukta 9

Kwahiyo Na Abadilishe Machaguo tu Hata Kesho Asubuhi Anaweza Fanya Kwa Utulivu bila ya Papara.
 
Nukta9

Hapo sawa mkuu
 
umeshaambiwa KAMWAMBIE AFUTE NA AANZE UPYA
kakudanganya wakati kila kitu kimejieleza
 
Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane mawazo ya haraka wakuu tumsaidie.., inakuaje hapo!?
Dedline ni kesho saa sita usiku
 
Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane mawazo ya haraka wakuu tumsaidie.., inakuaje hapo!?
mkuu tym bdo ipo mpka kesho anaweza kubadili hta leo au asubuh so mbya....
 
Mkuu Ukiambiwa Mwisho Tarehe Tano Maana Yake Ni Siku Ya Ijumaa Tarehe 5 saa 23:59:59:9

Siku Ijumaa
Tarehe 5
Saa 23
Dakika 59
Sekunde 59
Nukta 9

Kwahiyo Na Abadilishe Machaguo tu Hata Kesho Asubuhi Anaweza Fanya Kwa Utulivu bila ya Papara.
Ahsante mkuu
 
Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane mawazo ya haraka wakuu tumsaidie.., inakuaje hapo!?
Some people are not serious on their future
 
Akurupuka mithili ya baba nanilinhii... Abadilishe tu.. Ukiambiwa deadline ni tarehe 5 maan yake ni mpaka tarehe tano ,sa sita usiku
 
Back
Top Bottom