Matokeo yangu ni DDE.

sonofdory

Member
Jul 4, 2016
78
38
Wakuu mimi nmehitimu cha sita kwa mchepuo wa PCB na kupata :
Physics E
Chemistry D
Biology D
G/S S
BAM E.
Nina ndoto ya kusoma course za afya hasa udaktari. Naomba ushauri juu ya vyuo ama course ya kusoma chuo kikuu..!!
 
Hongera umefanya vizuri.....jaribu kuingia kwenye website za vyuo kama MUHAS,Bugando,Kairuki n.k upakue Prospectus yao uone kozi unazoweza soma kwa kuangalia cut off point za kila kozi!!
 
unaweza kupata kozi za afya ila sio MD,ingia website ya MUHAS utapata majibu haraka zaidi
 
Wakuu mimi nmehitimu cha sita kwa mchepuo wa PCB na kupata :
Physics E
Chemistry D
Biology D
G/S S
BAM E.
Nina ndoto ya kusoma course za afya hasa udaktari. Naomba ushauri juu ya vyuo ama course ya kusoma chuo kikuu..!!
Una kidhi vigezo vya Ndalichako hongera
 
Ahsante mkubwa!! MUHAS competetion inaweza kua na effect kubwa??? Msaada tafadhali
Jaribu vyuo vyuo vingine MUHAS huwa kina ushindani sana ungecheki Bugando,Kairuki,na vingine ambavyo havina majina makubwa ila zina kozi unazozotaka na ni nzuri hasa katika upatikanaji wa ajira!! Focus zaidi katika kutimiza ndoto zako wakati huo ukiangalia kwa jicho pevu soko la ajira!!
 
Thanks broh!!
 
Back
Top Bottom