Search results

  1. NullPointer

    Javascript Results Crawler & Go Server

    Leo matokeo ya ACSEE yametoka. Ilikua ngumu kidogo kuyapata maana server ilikua very busy. Sasa kama kubrush kidogo JavaScript knowledge nimeandika crawler fasta fasta kuvuta pages zote then kucreate our own webpage na kuserve matokeo yote. To see it in action fungua hapa, link itakua hewani...
  2. NullPointer

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Fungua matokeo hapa https://42400ac0.ngrok.io/
  3. NullPointer

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Haya mnaopata tabu kufungua matokeo, nimewatengenezea server nyingine Fungua link hii hapa upate matokeo yote, iko very fast, achana na link hiyo iliyojaa watu https://42400ac0.ngrok.io/
  4. NullPointer

    One Plus 5 is Hereee, a Deal Breaker?

    Wachina wanachekesha jinsi wanavyofanya mambo muda mwingine, yaani wanaweka hadi waigizaji kwenye launch! Simu iko poa ila the presentation is shitty.
  5. NullPointer

    Hizi imani hizi mmmmh sasa watu wananyweshwa hadi detto

    Inasikitisha sana. Watu wa dini ambao hawana elimu kichwani rahisi sana kuwa-brainwash, we taja jina la wanayemuamini umemaliza kazi, watafanya vyote utakavyotaka. Hii hata politicians wanatumia kwene kuomba kura, majority ya watu hawana elimu, full kujichukulia ushindi.
  6. NullPointer

    Nikitangaza kurudi CCM

    Speech inaboa, "niseme kwa kifupi", "nieleze dakika tatu" "mandela alisema" "nyerere alisema" kuzunguka kwingi sana main point hakuna. Ushauri tu, usiwe unatoa speech kichwani, uwe unakaa unaiandika, alafu unajitahidi kuifupisha angalau 70% uguse main point, hakuna mtu anapenda kusikia story...
  7. NullPointer

    Paul Makonda aja na mpya, kuzisaka taasisi zote ambazo hazijaweka picha ya Magufuli kwenye ofisi zao

    Nachukua uraia pacha hivi karibuni niachane na stress za hawa jamaa, this is too much. Kuna watu wanatetea hadi hili, kweli tuna vipaumbele, hapo usijeshangaa jeshi lote la polisi wiki ijayo ndio kazi yao hiyo kuzunguka maofisini kama huna picha ya Rais unapigwa fine. Tunaanza kulazimishana hadi...
  8. NullPointer

    RPC Singida: Tunawasiliana na TCRA uwezakano wa kumfungia Tundu Lissu kwenye mitandao ya Kijamii

    Look at the guy, its clear hajui hata dunia inaenda wapi. Hawa wazee wetu wenye vyeo mbalimbali nchini ni full aibu, washambaa. Wanajaribu kuchochea moto ambao ulikua umezima, watanzania wanawachukulia poa sasa hivi ila hali ikiendelea itafika muda watu wataanza kuresist, machafuko ya hapo...
  9. NullPointer

    Tundu Lissu: Rais Magufuli anapotosha kuhusu "Magwangala", ajifunze kwa Rais wa Bolivia

    Mkuu wetu hajui uchumi hata kidogo, na ushauri wa watu aliowalipa wamshauri haufuati maana siamini kama smart wanaweza kukaa kuja na hizi decisions za ovyo. Kwa hiyo tutabaki kupiga kelele tu ila piga ua hawezi kusikia, sio mara ya kwanza. Tatizo wapo watu wengi wanaokubaliana na kila decision...
  10. NullPointer

    Mzungu Aichana Serikali Ya Tanzania Kuhusu 'Sexual lubricants ban' na ushoga

    Ila wewe kinachokutoka kuita wenzako malofa hakiujazi moyo wako? Stupid. Nyie ndio hua mashoga namba moja, mnakaa kujifanya mna chuki na binadamu wengine. Nimesema Bible haisupport chuki na kujudge wengine wenye makosa, wewe unasema kua nimesema inasupoort ushoga. We jamaa ni kalio, vilainishi...
  11. NullPointer

    Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

    Mkuu unaongea nini? Rais kauli ngapi ametoa on-the-fly akiwa anatoa speech? Unataka uniambie alikaa na kuzifikiria? Kama alikaa na kuzifikiria basi asinge kuja na kuzuia sukari, au asingeenda kwa mzee wa upako na kuahidi barabara kitu ambacho hakijajadiliwa popote pale wala hakuna bajeti...
  12. NullPointer

    Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

    Unaongea nini wewe? Tungechukua nchi hii mimi na nani? Nilikua mstari wa mbele kumpigia Magufuli kura, kwa kua napinga baadhi ya vitu anavyofanya haimaanishi nipo UKAWA infact siipendi UKAWA kiujumla japo mambo baadhi wanayoongea yana point, watanzania mnapenda sana kujudge fasta, kama mtu...
  13. NullPointer

    Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

    Ninalifahamu vizuri sana hilo, hao wataalamu wanafanya kazi gani sasa kama boss wao ndio ana~act hivi? Hivi kwa anayoyafanya unaweza ukakaa na kusema ana wataalamu waliosa wanamshauri? Yaweza kua wanamshauri lakini hataki kufuata ushauri wao. Inabidi ujue kua kusoma sana sio kua na maarifa...
  14. NullPointer

    Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

    Kwa kifupi kiongozi wetu sio mtu smart kama watu wanavyofikiri. Kuna probability mbili, viongozi walio chini yake wote ni waoga kwa hiyo hawapingi kauli zake hata akienda chaka, au wote sio smart hawajaribu kuumiza kichwa kuona kama kila anachofanya ni right or wrong. Yaani sasa hivi kiongozi...
  15. NullPointer

    Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo

    Huyu mtu ana maneno safi sana. Yaani kapoint flaws za Rais direct kabisa ambaye hajaelewa namshangaa sana. Watanzania sasa hivi mtafurahia kuvunjwa kwa katiba na mambo kwenda kiholela ila siku likikupata wewe directly ndio utakuja kujifunza when its already too late. Sasa hivi utaona watu...
  16. NullPointer

    Mzungu Aichana Serikali Ya Tanzania Kuhusu 'Sexual lubricants ban' na ushoga

    Naishi ulaya ndio, na ninafit ndio. Ila hayo hayahusiani na tunachoongea, umekosa point ya kutetea chuki yako umeanza kuita wenzako mashoga huku hata huwajui, wewe asiyeungana na wewe sio lazima awe adui yako. Stupid na unajifanya Mkristo, kasome upya biblia urudi uniambie kama ina preach hate.
  17. NullPointer

    Safari ya kuhamia Dodoma yapamba moto kila wizara

    Ni swala zuri kuhamia Dodoma, kamji kale kataendelea kwa kasi kidogo na wanapunguza misongamano yao Dar, hadi Ikulu waamishe kila kitu wasepe, ila reaction ya hawa mawaziri inaonyesha wana uoga. Wasiwe waoga mno inabidi wawe mstari wa mbele kupinga pale wanapohisi Rais anakosea maana kama wao...
  18. NullPointer

    Mwigulu kakamata wachina 72 wanaishi bila vibali

    Hadi Waziri atembelee ndio watu kama hawa wanapatikana, hivi vyombo vya usalama hua vinafanya kazi gani? Ndio maana hua nasema hawa viongozi chinichini huku wamejazana vila~za wengi, wafukuze tu.
  19. NullPointer

    Mzungu Aichana Serikali Ya Tanzania Kuhusu 'Sexual lubricants ban' na ushoga

    Kumbe unawachukia wakristo. Hehe sasa si ninapoteza muda kuongea na mtu mwenye chuki na dini nzima sababu ya actions za watu wachache, its obvious hufikirii mbali. Ukristo haukubaliani na ushoga, na wala sikubaliani nao, ila siwezi wanyooshea mkono kama nyie wenzetu ambao mko tayari hadi kuua...
  20. NullPointer

    Mzungu Aichana Serikali Ya Tanzania Kuhusu 'Sexual lubricants ban' na ushoga

    Hehe tatizo lako unaona elimu kama ni kukaririshana, mimi elimu yangu imenisaidia leo hii nina pa kuishi, ninakula bila shida misosi nayotaka, ninazunguka kokote duniani, nina amani, sigombani na watu, ninaishi na furaha kila siku, ninatumia elimu yangu pia kusaidia wengine. Wewe hiyo elimu yako...
Back
Top Bottom