Msaada mkuu S.485/893
Post sent using JamiiForums mobile app
Msaada mkuu S.485/893
ana 0 ya 21. mpe pole mkuuMkuu nisaidie ya ndugu yangu S.485/893
Post sent using JamiiForums mobile app
Wengine tumieni link ya tamisemi yenyewe haina jam sana
mimi mbona siyapati wewe umefanyeje?Kwa anayeshindwa kuyafungua ataje shule hapa nimsaidie
nijibu please now aiseeemimi mbona siyapati wewe umefanyeje?
amemaliza fomu six namba ya mthani ni s.1270/0505nijibu please now aiseee
Mkuu asante sana
ana iii ya 14amemaliza fomu six namba ya mthani ni s.1270/0505
weka nambaya kaliua secondary school babu
Post sent using JamiiForums mobile app
S0485/0893Msaada mkuu S.485/893
Post sent using JamiiForums mobile app
Sijui familia zetu wengine kazilaani nani, ziro nyingineHivi punde waziri wa elimu sayansi na teknolojia anarajia kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika mwezi wa tano mapema mwaka huu.
Chanzo cha habari hii ni www.necta.go.tz
UPDATE:
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita.
Kupata matokeo, http://41.188.136.77/matokeo/
tembelea http://41.188.136.77/matokeo
=======
Kwa ufupi
- Jumla ya watahiniwa 75, 116, walifanya mtihani huo Mei mwaka huu.
- Kwa upande wa watahiniwa wavulana, waliofaulu walikuwa ni 42,975 (sawa na asilimia 95.34) kati ya 46,385.
- Taarifa iliyotolea inaonyesha kuwa watahiniwa 58,556 (asilimia 93.72) walipata daraja la kwanza hadi la tatu. Kati ya hao, wasichana ni 22, 909 na wavulana ni 35,647.
By Mwandishi Wetu, Mwananchi
Zanzibar
Matokeo ya kidato cha sita nchini yametolewa leo Jumamosi, Julai 15, yameonyesha kuwa wasichana wameongoza kwa ufaulu ambapo kati ya wasichana 28,731 (38 asilimia) waliofanya mtihani, waliofaulu ni ni 27,577 (sawa na asilimia 97.21).
Jumla ya watahiniwa 75, 116, walifanya mtihani huo Mei mwaka huu.
Kwa upande wa watahiniwa wavulana, waliofaulu walikuwa ni 42,975 (sawa na asilimia 95.34) kati ya 46,385.
Taarifa iliyotolea inaonyesha kuwa watahiniwa 58,556 (asilimia 93.72) walipata daraja la kwanza hadi la tatu. Kati ya hao, wasichana ni 22, 909 na wavulana ni 35,647.
“Mchanganuo wa ufaulu katika madaraja unaonyesha kuwa watahiniwa walipata daraja la 1-11 umepanda kwa asilimia 0.59 kutoka asilimia 93.13 mwaka 2016 hadi 93.72 mwaka huu,” imesema taarifa hiyo na kuongeza;
“Pia, ufaulu katika madaraja kwa upande wa wasichana umepanda ikilinganishwa na wavulana. Ubora wa ufaulu kwa wasichana ni asilimia 94.07 ikilinganishwa na asilimia 93.49 ya wavulana.”
Ufaulu wa masomo
Kadhalika taarifa hiyo imeonyesha kuwa ufaulu kwa watanikiwa wa shule kwa upande wa masomo, ya Sayansi, Biashara, Lugha na Sanaa, haukuonyesha tofauti kubwa ukilinganisha na mwaka jana.
Hata hivyo, ufaulu katika somo la General Studies umeshuka kwa asilimia 7.54 kutoka asilimia 71. 24 hadi 63.70.
CHANZO: Mwananchi
Dogo ana D E E anaweza kwenda chuo?