Mzungu Aichana Serikali Ya Tanzania Kuhusu 'Sexual lubricants ban' na ushoga

Ushoga upo kwasababu ya kupata watetezi wanaojiita wasomi.
Kuuondoa nirahisi tuu..adhabu ya kifo kwa yeyote anaejihusisha,awe mfanyaji au mfanywaji. Adhabu hii itekelezwe hadharani ili iwe funzo kwa wengine.
Fungia vi NGOs vyote vinavyowatetea. Adhabu kali kwa watetezi wao. Halafu tuone kama wataendelea
tukirudi nyuma kabisa hata wewe mtu mweusi ulibaguliwa kwa namna hiyo hiyo!Alafu kwani kifo ndio katisho la maovu??
 
watanzania kiukweli tuna shida sana na matatizo mengi ambayo hatuyajui, ukweli ni kwamba wengi wetu hatuishi kwa uhalisia sasa mwisho wasiku hata hatujui kile tunachoongea au kubishana..

NGUVU HII TUNAYOITUMIA KULIPINGA HILI PIA TUNGEITUMIA KUILAZIMISHA SERIKALI KUTOPOKEA MSAADA WOWOTE KUTOKA KWA HAO WAZUNGU AKA WEUPE, ILA WAKITUPA MSAADA HUWA TUNAPIGA MAKOFI, UKWELI NI KWAMBA DUNIANI HAKUNA VYA BURE. SERIKALI YETU IACHE KUOMBA MISAADA NA WATANZANIA TUJIKITE KWENYE KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI TUWE HURU.. SASA KILA KUKICHA TUNAPEWA MISAADA TUNAPOKEA, NDUGU ZETU WENGINE KUTWA KUCHA WANATUIBIA HALAFU HELA WANAPELEKA HUKO HUKO KWA HAO WADHUNGU.

tufanye kazi kwa bidii na tuache kupokea misaada hapo tutakuwa na mamlaka ya kubishana na wazungu, "DUNIA YA MUNGU, VILIVYOMO DUNIANI VYA MZUNGU" bya Man Fongo.
 
DINI ILIKATAZA VINGI SIO USHOGA PEKEE, UKIWA MUISLAM AU MKRISTO, dini imekataza, WIZI, UZINIFU, UNAFIKI, UMALAYA,ULEVI,USAGAJI, UJAMBAZI, DHULMA.. NK ukitaka kuwanyooshea kidole MASHOGA basi uache na huo ujinga mwingine ambao DINI zenu zimekataza pia....UTAKUTA MTOTO WA KIKE NAYE ANASHABIKIA HILI HUKU NAYE KILA SIKU ANALIWA 0713. UKWELI NDIO UTATUWEKA HURU, DHAMBI NYINGINEZO NI HALALI ILA HII DHAMBI YA USHOGA SI HALALI??

Ni wakati wa viongozi wa dini sasa kuishinikiza serikali iweke sheria ya kupiga marufuku UZINIFU na Lodge zote watu waenda na vyeti vya ndoa,, ulevi pia upigwe marufuku,, wezi wa mali za umma nao wanyongwe....
 
Elimu yenyewe hiyo ya kusherehesha kila analosema mzungu hata ujinga? Kwa hiyo umaskini utaondoka kwa watu kuwa mashoga!!!
Binafsi naamini wasomi wapo wengi lakini walioelimika ni wachache sana.
Ninyi mnaojiita wasomi ni kipi hiyo elimu inawasaidia zaidi ya kuwa watumwa wakifikra?
Wapo walioelimika kwa kuelimishwa na maisha. Si wasomi wa elimu hizi zenu za kukariri. Kama akina Kaparata. Nenda Handeni kule uone walioelimika wanavyotengeneza silaha lakini waliosoma wameshindwa kuwasaidia. Kisa mpaka mzungu aseme

Hehe tatizo lako unaona elimu kama ni kukaririshana, mimi elimu yangu imenisaidia leo hii nina pa kuishi, ninakula bila shida misosi nayotaka, ninazunguka kokote duniani, nina amani, sigombani na watu, ninaishi na furaha kila siku, ninatumia elimu yangu pia kusaidia wengine. Wewe hiyo elimu yako inayokufunga kukesha unatoa sadaka kwenye nyumba za ibada huku nyumbani maisha magumu ndio inabidi ifikiriwe upya. Tatizo mmekariri mzungu ndio mwenye akili, nimeishi na wazungu miaka mingi sana na wapo wengi tu ambao tukikaa kazini wananiheshimu, waafrika mbona hamjiamini?
 
Kuna ishu nyingi sana za msingi kama malaria bado inaua watoto, upatiknaji wa aji safi, upatikanaji wa vifaa tiba na madawa kwa wagonjwa. Those are the issues to be discussed and find solutions there more important than "Vilainishi"
 
Hapa ndipo huwa nawachukia ndugu z angu wakristo hadi unadiliki kusema uko comfortable na mashoga hv hii ni dini au get together party? Sidhani kama wakristo wengine wanakubaliana na kauli yako otherwise zile habari za Sodoma na Gomola kwenye chapisho lijalo la bible mzi edit zisiwepo kabisa

Kumbe unawachukia wakristo. Hehe sasa si ninapoteza muda kuongea na mtu mwenye chuki na dini nzima sababu ya actions za watu wachache, its obvious hufikirii mbali. Ukristo haukubaliani na ushoga, na wala sikubaliani nao, ila siwezi wanyooshea mkono kama nyie wenzetu ambao mko tayari hadi kuua utafikiri hamna dhambi. Binadamu was a big mistake
 
Gays are going to be gays, hilo halina ubishi na ninakubaliana na mzungu hapo. Ila kuwagia vilainishi as if sisi tunafurahia na ku support hilo jambo ndio hatutaki. Therefore ban the distribution of lubricants to the gay community, let them use vaseline if they must. Lets make it a little difficult for them, sio kuwarahisishia kihivyo.
 
Kumbe unawachukia wakristo. Hehe sasa si ninapoteza muda kuongea na mtu mwenye chuki na dini nzima sababu ya actions za watu wachache, its obvious hufikirii mbali. Ukristo haukubaliani na ushoga, na wala sikubaliani nao, ila siwezi wanyooshea mkono kama nyie wenzetu ambao mko tayari hadi kuua utafikiri hamna dhambi. Binadamu was a big mistake
Nimeandika vzur kabisa nikasema sijui kama wakristo wenzio wanakubaliana na maoni yako kwamba (huna tatizo na mashoga) as long as anafanyia chumbani humuoni na ukajisahaulisha kuna amri ya kutodhini ambapo nako kunafanyika kwa kificho hvo hvo
 
Hivi kuzuia vilainishi kunaongeza maambukizi au kupunguza?ukizuia huoni kama watatombana kavu na kuchubuana.Kwa nini msiwekeze kwenye kuwafanya waache au wasiingie.wabongo akili ipo kutibu badala kuzuia
 
Mzungu akinena basi kila mtu na amshangilie? Wana akili sawa na za kwetu. Wapo wanazitumia vyema na pia wapo wanazitumia hovyo.
tatizo lako kiingilishi MZUNGU hapo kasema kuzuia vilainishi ndiyo waz
Mkuu hoja yako nimeipata lakini iko very out of context kabisa
mkuu ukimsikiliza jamaa ana point ,wanazuia hivyo vinavyolainisha ili kuzuia ushoga na jibu si kweli ,ina maana wewe ukiona hivyo vilainishi tu una hamu ya kuwa shoga ,mbona KY zimejaaa kibao kwenye maduka ya dawa
 
Hivi kuzuia vilainishi kunaongeza maambukizi au kupunguza?ukizuia huoni kama watatombana kavu na kuchubuana.Kwa nini msiwekeze kwenye kuwafanya waache au wasiingie.wabongo akili ipo kutibu badala kuzuia
na siyo kavukavu tu watapaka hata mate kazi itaendela tu ,binadaamu mpe elimu ya uharibifu ya unachomzuia siyo kumlazimisha kwa ubabe na dharau
 
Hapa naona kuna mpango wa muda mfupi nao ni kuzuia hivyo vilainishi kisha mpango wa muda mrefu ni kutoa elimu na adhabu pia. Kiukweli tufike mahala tujitambue hili jambo kwa dini zote zenye vitabu limekemewa na kilichowakuta maandiko yanasema waziwazi.
Hali imekuwa ya kutisha sana miaka hii ya utandawazi gays walikuwapo ila si kwa kiwango hiki na uwazi huu sasa imekuwa kama fashion au sifa kuwa gay jambo hili linatakiwa kukemewa na mabaradhuli hawa watiwe adabu.
Ingawa sisi marijali baadhi yetu tunachangia waendelee kuwepo coz kama sio baadhi yetu kuwaingilia hawa bila shaka watapungua nao wataanza kutafuta midoli ya kuwa shughulikia badala ya MIPINI.
 
Suala la ELIMU ni muhimu sana tatizo tumeishia kufikiri elimu ya abcdefg.... ndio inatosha tuu hapana ni zaidi ya hapo,Hawa watu hawawezi toka huko au watoto wetu wasiingie huko kwa kelele na chuki na visasi,Me nakiri nimefanikiwa kuwatoa 2 wa aina hiyo kwa kutumia njia rafiki sana za kielimu za dini,jamii na ya darasani kuwafunulia mambo na cha zaidi upendo kwao huwafanya waone wanastahili kuacha wafanyayo,Ninachoona wachangiaji wengi ni watoto bado kupambanua mambo hawawezi ndio maana vinavyotoka kwao ni chuki,visasi,vinyongo na yafananayo na hayo
asante mkuu umemwaga madini tupu na hiyo ndiyo dawa siyo mtu anaamka na kukurupuka tu bila kufanya utafiti wa anachokizungumza
 
Kwanza hakuna sheria mpya, anachemka.

Pili, sheria zilizopo zinakataza ushoga, na agizo la serikali ni la kupiga marufuku vitu vinavyotumika ama kusaidia kufanyika kitu ambacho ni kinyume na sheria.

Marekani, kwa mfano, madawa ya kulevya hayaruhusiwi. Lakini pia ni kosa la jinai kwenye majimbo mengi kukutwa na kifaa chochote kinachotumika wakati wa, au kusaidia matumizi ya, madawa ya kulevya, na huitwa drug paraphernalia.

Kupigwa marufuku vilainishi vyenye lengo la kurahisisha kitendo cha kihalifu ni sawa na kupigwa marufuku drug paraphernalia nchini Marekani.

Lakini kingine, kwa nini Marekani wana double standards, kwa nini wasijaribu kwenda sehemu kama Saudi Arabia au Syria au Uganda au North Korea kuwapelekea values zao za ushoga? Wanajua kitawaka huko wanakokwenda na pia wataletewa moto huko huko Marekani.
 
Back
Top Bottom