Mzungu Aichana Serikali Ya Tanzania Kuhusu 'Sexual lubricants ban' na ushoga

This person is excited for nothing. Whatever Ummy Mwalimu said there are no Tanzanians serving life sentences for being gay . There are many paedophiles getting themselves into bad trouble. But there isno appetite to argue with consenting adults who want to do such things. If two fellows lock themselves in a room nd want to be gay,just go and bang at the door and tell them to come out. []And what is that "lu"? I have never heard of it]
This is Africa and has got its culture
 
Hii ban imekaa kimwendo kasi, mkurupuko.Sexual lubricants jamani siyo kwa ajili ya mashoga tu, Kuna baadhi ya wanawake huwa Ni wakavu kwa asili ata wachezewe vipi, na pia Kuna watu wana maumbile mkubwa hizi lubricants zinasaidia jamani.
 
Ushoga upo kwasababu ya kupata watetezi wanaojiita wasomi.
Kuuondoa nirahisi tuu..adhabu ya kifo kwa yeyote anaejihusisha,awe mfanyaji au mfanywaji. Adhabu hii itekelezwe hadharani ili iwe funzo kwa wengine.
Fungia vi NGOs vyote vinavyowatetea. Adhabu kali kwa watetezi wao. Halafu tuone kama wataendelea

Alafu sasa tukisha fanya hivyo tutapata faida gani? Hivi ushoga imekua ni tatizo kubwa kiasi kwamba upo tayari kuua mtu kwasababu ya ushoga? Na je ikitokea mtoto wako au rafiki yako ndio shoga utapenda kuona anapewa adhabu hiyo?
 
Hii ngumu kumeza
 
Kama kuingiliwa nyuma ni kuwa civilized, kwa nini wewe unazuia hilo tundu lako? Halafu kwa nini unakuwa mwongo? Hili suala halipingwi na taasisi za kidini peke yake, bali kila mtanzania mwenye kuthamini utu wa mwanadamu. Hawa ni watu ambao dhamira zao zinaishi, na hawajasombwa na fikra za civilization za kuiga kwenye video. Ulimbukeni ni tatizo kwa izazi hiki
Kuingiliwa aingiliwe mwingine wewe roho ikuume dah...no wonder we are still poor! just mind your damn business.
 
vipi kuhusu condom unataka zipigwe marufuku kuzuia ukimwi,fikiria nje ya box wewe
Uchinga wa waafrika wengi ni kuamini kuwa kila lisemwalo na mzungu bas ni halali na linapaswa kufanywa na kila mtu. Achen ushamba kututisha na mambo ya kishetani. Kama kwao kushikishana ukuta n kawaida bas wasubiri wakashikishiane ukouko kwao.
 
I think the dumbest person is the one who suggests that,family planning can control the spread of HIV.
We are Tanzanians and not Americans, people need to understand and respect that fact!
 
aiseeeee.. mzungu who is muzungu?

Lakini ni kama ushamba flan ambao sisi waTz tunao, mm sikuona haja ya kuban hizo lubricants. Wakati nakua miaka ya 90's nilishuhudia suruali kwa wanawake waliitwa malaya....tukazizoea mpk sasa imekua kawaida sana tu mwanamke kuvaa suruali (figurative language). Nimetumia mfano wa suruali kama metaphor tu kama vile ninavyotumia mfano wa condom. Wakati ndom zinaanza kuletwa africa ilikua ngumu sana Mwinyi kukubaliana...leo ziko wazi wazi tu. Mafuta ya kuduu sasa nongwa....tutazoea tu
 
I think the dumbest person is the one who suggests that,family planning can control the spread of HIV.
We are Tanzanians and not Americans, people need to understand and respect that fact!
mkuu umaskini ni shida sana, a beggar has bo choice. Kwani mauchafu mengi ya Amerika huyaoni mpk hilo tu? uchangu wa wanawake ni culture yetu? kuvaa condom ni culture yetu?
 
bwana mkubwa we ni mweupe vibaya mno

nyamaza tu ulinde heshma yako.
Huna lolote wewe. Tamaduni za kuiga hizi zitawamaliza. Kama unadhani kichwa chako ni kizuri, toa shimo lako. Umesoma vizuri hizo pointi alizoandika nduguyo unayemsifia? Nyie ndio mnaotafutwa na Makonda. Hovyo kabisa
 
Hehehe haina noma mkuu, naona umeamua kuniita shoga kwa kua views zangu ni tofauti na zako, typical stupid African, its a waste of time kujibizana na wewe. Fikiria unachofikiri ila ukweli anayeujua ni mimi, nyie tunawaita keyboard warriors, mnajua kuongea sana mkiwa nyuma ya keyboard ila when it comes to serious discussions kichwani zero tu, usijekuta hata wewe ndio shoga unakaa kujifanya humu ndani ili upewe likes mbili tatu utadhani zinakulisha. Stupid
You are a fool. Hamia ulaya utakakofit, afrika ulizaliwa kwa bahati mbaya, kama wewe ni mwafrika.
 
You are a fool. Hamia ulaya utakakofit, afrika ulizaliwa kwa bahati mbaya, kama wewe ni mwafrika.
Naishi ulaya ndio, na ninafit ndio. Ila hayo hayahusiani na tunachoongea, umekosa point ya kutetea chuki yako umeanza kuita wenzako mashoga huku hata huwajui, wewe asiyeungana na wewe sio lazima awe adui yako. Stupid na unajifanya Mkristo, kasome upya biblia urudi uniambie kama ina preach hate.
 
we mburula kuwa na akili! na ukikuta mwanao analiwa kiboga uvumilie, usibebe panga tena umnunulie na hvyo vilainishi wamtafune vzuri

Ongea kwa hoja chief sio ligi hii.
We unahisi kuzuia vilainishi ndo kusuluhisha tatizo?? Kwa akili za haraka haraka kabla ya hiyo misaada hakukua na mashoga kwahiyo??
 
Huyo mzungu msenge tu...Kama huko kwao wamezoea ushoga had wanatengenezeana vilainishi...wauziane huko huko...Wasenge kweli, manina zao!!!
 
Naishi ulaya ndio, na ninafit ndio. Ila hayo hayahusiani na tunachoongea, umekosa point ya kutetea chuki yako umeanza kuita wenzako mashoga huku hata huwajui, wewe asiyeungana na wewe sio lazima awe adui yako. Stupid na unajifanya Mkristo, kasome upya biblia urudi uniambie kama ina preach hate.
Endelea kutumia vilainishi lofa wewe. Hujui Biblia inasema nini kwa watu kama ninyi? Ni wapi ambapo Biblia inaweka ushirika na mashoga na wafiraji?Biblia inasema hivi, kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake. Tafakari kauli zako
 
Ila wewe kinachokutoka kuita wenzako malofa hakiujazi moyo wako? Stupid. Nyie ndio hua mashoga namba moja, mnakaa kujifanya mna chuki na binadamu wengine. Nimesema Bible haisupport chuki na kujudge wengine wenye makosa, wewe unasema kua nimesema inasupoort ushoga. We jamaa ni kalio, vilainishi katumie mwenyewe.
 
Back
Top Bottom