Search results

  1. M

    Post Covid19 School Fees: Precious Schools inakomoa wazazi

    SCHOOL FEES: PRECIOUS SCHOOLS INAKOMOA WAZAZI Kwanza ni pole kwa wale wote ambao kwa namno moja wamepoteza ndugu zao wapendwa kwa mlipuko wa ugonjwa wa Korona. Mwenyezi Mungu awape roho ya ustahimilifu kwa kuondokewa na wapendwa wetu. Mada: 1. Baada ya Serikali kutangaza kurejea kwa shughuli...
  2. M

    Live Stream Arsenal vs Spurs

    Jamani kuna yeyote anafahamu wapi naweza kuona live streaming ya hii game?
  3. M

    Wakubeti.... BIKO Sports ni wasanii....

    Salamuni..... Nimekuwa nafatilia sana michezo ya betting, na nikawa nimependelea kucheza na Bikosports. yaani, najuta hawa jamaa ni wasanii balaa. Leo kulivyo na mechi nyingi Ulaya katika nchi mbalimbali, Jamaa wa biko wameamua kuweka mechi chache tena kutoka katika baadhi ya Ligi. Ligi nyingi...
  4. M

    Msaada tafadhali: Basi bora la kwenda Mwanza kutoka DSM

    Wadau, Salamuni. Kama nilivyoainisha kwenye somo, ningependa kujua basi bora la kwenda Mwanza. Natokea Dar.
  5. M

    NEMC simamieni sheria inavyopaswa

    NEMC, ambao ni wasimamizi wakuu wa mazingira ya nchini wamekuwa na tabia, naweza kusema, ya kujisahau au kutusahaulisha sisi wananchi juu ya wajibu wao. Kazi zao nyingi zimekuwa ni za kimatukio na za msimu kwa kuangalia upepo kipindi hiko umevuma kuelekea wapi. Nakumbuka mwaka juzi (2015...
  6. M

    Haya ziara ya Obama imeisha: Tuliishia wapi vile mambo yetu

    Niweke wazi hili kabisa: Kwa yeyote ambaye anafikiria matokeo hasi juu ya ziara ya Mh. Obama hapa Africa na Tanzania kwa ujumla, atakua anakosea. Ili nchi a Africa ziendelee lazima zijifungamanishe na nchi za dunia ya kwanza. Tuna mali sawa,lakini huna mtaji, huna teknolojia sahihi,huna soko la...
  7. M

    Executive, Judiciary and Parliament: Nani wa kutetea wananchi?

    Habari za mida hii wakubwa! Leo nimebahatika kuliangalia Bunge la JMT tangu asubuhi mpaka jioni lilipoahirishwa baada ya kutokea sintofaham baina ya naibu spika na wabunge hasa wa upinzani. kwa kiasi kikubwa hali ile ilikua inakera sana na kukatisha tamaa IKIZINGATIA hoja ambayo ilikua mezani...
  8. M

    Hapana, hapana, hapana! Tulipofikia ni hatari...

    huku madaktari wamegoma huku daktari kiongozi anatekwa na kuteswa vibaya kiasi cha kutaka kutolewa roho huku waziri mkuu anasema liwalo na liwe kwa huu mgomo wa madaktari huku spika anaruhusu mbunge kusema 'kama wapo wenye uchungu na nchi, waende wakazae' Tunapelekwa wapi na serikali hii? Rais...
  9. M

    TBC mmezidi sasa!hata hesabu ndogo inawashinda?

    Hawa TBC saa ingine huwa nashindwa kuwaelewa. Mara kwa mara huwa nawasikia wakisema wanaonekana kwa njkia ya setelaiti hadi nchi za magharibi za marekani na ulaya n.k. Ila inaonekana waandaaji wa taarifa ya habari hawako makini na baadhi ya vitu. kwa mfano leo wakati wanasoma taarifa ya nauli za...
  10. M

    Kwa Mh Mnyika: Mradi wa Maji wa Wananchi wa Msewe Golani Wahujumiwa

    Mh, hongera kwa majukumu yako ya ujenzi wa taifa. Kwa niaba ya wakazi wa Msewe golani, ambao tupo katika kata ya ubungo jimboni kwako,tunapata kero kubwa ya maji kufuata kile tunachoweza kusema kuwa ni hujuma iliyofanywa na wasimamizi wa mradi wa maji ya kijiji chetu hasa ya kisima. kero hii ya...
  11. M

    Hivi wananchi wa majimbo ya waheshimiwa Mwigulu, Rage, Nchimbi na Aeshi Wanajisikiaje?

    Jamani wanajamvi nimefikiri nikaona ni bora tubarizi hapa juu ya matendo yanayoendelea ya waheshimiwa wa chama tawala. Suala la nidhamu katika CCM inajulikana wazi kuwa halipo kwa sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni kushindwa kufanya maamuzi magumu ya kuokoa chama kutoka katika mikono ya...
  12. M

    It specialists: Please help!!

    Asalam aleykum! Kuna tatizo ambalo naona limeingilia hili suala la tekinolojia ya mawasiliano kwa upande wa barua pepe (e-mail). Nashindwa, kuelewa siku hizi kila napokea barua zisemazo 'NO SUBJECT', kutoka kwa watu mbalimbali. nimejaribu ku-ignore sababu ukifungua unakuta kuna link tu...
  13. M

    Fuel crisis: Serikali ifanye maamuzi magumu

    Kwa kweli kama Hayati mwalimu alitabiri kwa uhakika kabisa kuwa serikali ikishikwa na wafanya biashara utoaji wa maamuzi utakua mgumu. Na akataka siasa itenganishwe na biashara. He was right. Wafanya biashara wa mafuta wameamua kwa ujeuri wao kuwatesa Watanzania. Bei kushushwa tu kidogo, bila...
  14. M

    Serikali legelege ....yapewe masaa 24 ijieleze

    Ama kweli sasa ndo utajua kama tumeshauzwa na kuwa serikali yetu inamilikiwa na watu ambao inawaita 'wawekezaji'. Jamaa hawa wamefikia hatua hata ya kuitusi na kuitishia hadharani Serikali kwa sababu ya nguvu waliyonayo (wanapata wapi hio nguvu??). Nyerere alikua akiwatimua watu kama hawa ndani...
  15. M

    JK aahidi tena kuinusuru ATC: utekelezaji wa ahadi utaanza lini?

    Nimeona kwenye gazeti la Tanzania Daima ahadi zilizotolewa na JK mkoani mwanza katika sekta ya miundombinu: ujenzi wa reli (Dar to Burundi) ujenzi wa reli (Dar hadi Isaka, mwanza,kigoma,mpanda) Kufufua tena ATC Meli kubwa kati Ziwa Victoria Mheshimiwa anatakiwa afahamu kuwa pamoja na kuwa yeye...
  16. M

    Mgomo wa daladala Morogoro: Mkuu wa Mkoa&Mkurugenzi wawajibishwe

    Inasikitisha sana kuona serikali yetu imeshindwa kutatua suala la mgomo wa daladala mkoani Morogoro. Ni siku tatu tangu huduma hio muhimu katika ujenzi wa taifa ilipositishwa kwa madai ya kuwa kumekua na ukuikaji mkubwa wa makubaliano ya makusanyo ya mapato kwa daladala stendi kuu-mjini kuelekea...
  17. M

    Ridhiwani na wana wa kanali gaddafi & hosni mubarak

    Ni ukweli usiofichika kuwa watawala wengi wa afrika bado wana kasumba ya uchifu na utemi wa mababu zetu. Suala la kurithishana vyeo na kumiliki mali za umma limekuwa kama jambo la kawaida kabisa ambalo watawala hawa hawashtuki kabisa. Suala ambalo lipo hot kwetu ni mabilioni na miradi ya...
  18. M

    OIL,THe cURsED ReSOURCE: Another IRAQ In AFRicA

    I have been perusing over the media for three consecutive weeks purposely making close follow-up to what is happening anh happened in Africa, arab world and Japan. But, my real attention was on continued mass demonstrations in arab world which has currently changed to be INTERNATIONAL WAR in...
  19. M

    Maisha ya mtanzania kitendawili

    Ilikua leo ndo mara ya kwanza kutumia daladala baada ya ongezeko la nauli zilizotangazwa na SUMATRA kwa jiji la dar es salaam. kwa kweli nimejisikia kuumia sana kwa sababu kwa mizunguko kadhaa niliyofanya nikakuta nimetumia 3,500/- wakati wiki iliyopita ilikua takribani 2,050/- kwa route hiohio...
Back
Top Bottom