It specialists: Please help!!

MWananyati

Senior Member
Feb 3, 2011
160
53
Asalam aleykum!

Kuna tatizo ambalo naona limeingilia hili suala la tekinolojia ya mawasiliano kwa upande wa barua pepe (e-mail). Nashindwa, kuelewa siku hizi kila napokea barua zisemazo 'NO SUBJECT', kutoka kwa watu mbalimbali. nimejaribu ku-ignore sababu ukifungua unakuta kuna link tu unaambiwa niifuate.
Nimekua nazi-delete, lakini zimekuwa ni kero. sas nifanyeje ili kuondokana na hili suala la kuzipokea?
 
ONA HII
Tafadhali kwa watanzania walio tayari kuitumikia nchi yao kwa moyo wote walio ndani ya mtandao wa JF, mnakaribishwa kujiunga katika timu muhimu inayoundwa hivi punde. KAZI: Kupika chakula bila kujijali binafsi. SIFA: Kujitoa. Tuma maombi na sifa zako kwa marcossy@yahoo.com kabla ya J5 hii ya Idd el fitr.
NI KWA WENYE AKILI TU.
 
Back
Top Bottom