Search results

  1. HPAUL

    Msemaji wa Simba SC ukirejea kutoka Misri tuambie tofauti ya Wewe kusema Tickets SOLD OUT huku N-Card wakisema waliokata Tiketi walikuwa 54,000 tu

    Kumbuka Kumbuka hii ni mechi ya ufunguzi wa kombe kubwa zaidi ngazi ya klabu barani Africa. Ni mechi iliyokuwa na wageni waalikwa wengi, na Simba kupitia semaji walisema wazi kabisa Ticket za VIP A hazitauzwa, Bali ni maalumu kwa ajili ya wageni. Na hata takwimu za sold out hazionyeshi mauzo ya...
  2. HPAUL

    Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

    Hawa Singida ni tawi la Yanga, Simba wanahofia majeruhi ya kukusudia, wameshampoteza Inonga, wakipoteza key player mwingine ni kutakuwa ni pigo kubwa sana
  3. HPAUL

    Bodi ya Ligi yakataa ombi la Simba kutumia Chamazi.

    Uwongo mkubwa, timu zinaruhusiwa mechi 3 za nyumbani, kuhamishia uwanja unaopenda ili mradi umekidhi vigezo. Tumeona Hilo Mara nyingi likifanyika, mfano KMC mechi za nyumbani wanapocheza na Yanga au Simba huhamishia Kirumba Mwanza.
  4. HPAUL

    Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Hapo hakuna hata mmoja, japo Mkwasa aliwahi sajili Simba, lakini FAT ilimuidhinisha aendelee kutumikia Yanga
  5. HPAUL

    Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    https://sokalabongo.com/2023/04/huyu-hapa-mchezaji-wa-kwanza-kutoka-yanga-kwenda-simba-okwitambwemorrison-wanasubiri.html
  6. HPAUL

    Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Hao wamesoma digrii ya Sheria, hawatambuliki kama mawakili isipokuwa watatu tu Dr Tulia, Ridhiwani na Ndumbalo
  7. HPAUL

    Winga Micquisone, winga Onana, kati Chama, wauaji Baleke na Saido, nasema siku ifike tu

    Sio kweli, Chama amemaliza adhabu ya mechi 3. Bàada ya Ruvu Simba ilicheza mechi mbili NBC league, tarehe 6 June Police na Tarehe 9 June Coastal Union. Kamalizia adhabu mechi ya Singida juzi.
  8. HPAUL

    Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Heri viingilio vya chini, kuliko fungulia mbwa, yaani bure kabisa
  9. HPAUL

    Ujuaji wa Singano na kudanganywa na dalali Shaffih kumemponza

    Wachezaji wa Tanzania, waliocheza ulaya ni wengi mno, akina Nico Njohole, Bob Chopa, Shekhan Rashid, Henry Joseph, Kali Ongala nk lakini waliopata mafanikio ulaya kutoka Tanzania ni wanne tu Samata, Novatus, Kasimu Manara na Mkongo man Nonda. Hata Sunday Manara hakupata mafanikio makubwa huko...
  10. HPAUL

    Yanga imebomoka

    Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
  11. HPAUL

    Mikutano mingi na Mayele ya nini?

    Klabu ya Yanga imekuwa na mfululizo wa mikutano na mchezaji wao Mayele, mchezaji ambaye tumeaminishwa bado ni hatimiliki ya Yanga kwa mwaka mmoja ujao. Hivyo basi Yanga ina mamlaka ya kumtumia Mayele kwa mshahara wanaomlipa sasa kwa mwaka mmoja ujao. Na walishafanya hivyo kwa Fei Toto kwani...
  12. HPAUL

    Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

    Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
  13. HPAUL

    Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

    Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
  14. HPAUL

    Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

    Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
  15. HPAUL

    Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

    CAF katika kikao walichokaa jana mjini Rabat, Morocco wameamua kuanzia msimu huu wa 2023/2024 na kuendelea zile timu 16 ambazo huwa zimetolewa katika hatua ya timu 32 katika ligi ya mabingwa wa Africa hazitapata fursa tena ya kuingia katika hatua ya mtoano (Play-Off) ya kupambana na 16 bora za...
  16. HPAUL

    Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

    Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia. Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
  17. HPAUL

    Hongera Eng. Hersi kwa kusajili top players

    Samata alienda wapi, Henry Joseph alienda wapi, Nico Njohole alienda wapi, Renatus Njohole alienda wapi
  18. HPAUL

    Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

    Kuna mtu anaitwa Kuna mtu anaitwa Nalia Ngwena, kwa siku ana post 6, na hapati ban, anachukua award mwaka huu
  19. HPAUL

    Timu zilizokuwa zinapeleka ofa mezani Yanga SC sasa zitakwenda Simba SC kuwania saini ya Saidoo Ntibazonkiza

    CV ya Saido ni kubwa mno, ukilinganisha na Mayele au mchezaji yeyote NBC league. Saido kwenye umri wa miaka 36 sasa hivi anamalizia football career yake Tanzania. Akitoka hapa kwetu atarejea kwao Burundi. Ameshacheza ligi kubwa duniani ikiwemo ligi kuu Ufaransa, amecheza UEFA champions league...
Back
Top Bottom