Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia.



Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga

FIFA inawasubiria palee.

Endeleeni kusajili ilihali mmefungiwa kutosajili
 
Kama Mamadou Doumbia ataachwa, litakuwa ni jambo jema. Maana kwa aina ya ligi yetu, angekuwa tu uchochoro kutokana na kukosa kwake spidi ya kukimbizama na washambuliaji hatari.

Viongozi wakubali tu kuingia hasara kama walivyofanya kwa Gael Birimana, baada ya kuingia cha kike.
 
Back
Top Bottom