Search results

  1. N

    Msaada katika kompyuta

    Kuna mtu nilimwachia kompyuta yangu aina ya lenovo kwa muda, lakini alikuwa afahamu matumizi vizuri akawa anawasha vizuri lakini kwenye kuzima kompyuta hiyo alikuwa anazima kwa kutumia sehemu ya kuwashia na kuzalisha tatizo lifuatalo:- kwa sasa kompyuta nikiwasha inawaka lakini aimalizi mpaka...
  2. N

    Kompyuta yangu ina tatizo la window

    Habari za muda huu ndugu wadau kompyuta yangu ina tatizo la window inasemekana BIOS ina password ina sababisha kupiga window mara tatu tu. Baada ya hapo inakuwa inashindwa kuwa mpaka nitoe disc nipige kwa kutumia kompyuta nyingine. Naomba nisaidiwe namna ya ku unlock hiyo ili niweze kubadilisha...
  3. N

    Swali naomba majibu

    Kwanini viwanja vingi vya ndege hujengwa karibu na uso wa maji au mara nyingi karibu na kiwanja cha ndege kuna kuwa na bwawa au ziwa mfano uwanja wa mwalimu nyerere upo karibu na bahari na viwanja vya ndege vingine
  4. N

    Umoja wa mataifa

    Kwenye baraza la umoja wa mataifa tuna kuwa kuna katibu mkuu wa umoja huo. Je mwenyekiti wa umoja wa mataifa ni nani. Kama huyo ni katibu ina maana kuna mwenyekiti wake.
  5. N

    Msaada wa link A-lever education

    Habari wana jf, kwa yeyote anaeweza kunipatia link za kudownloads notice za Physics for A lever,hasa za topic ya geophysics na link za masomo geography & chemistry nitashukuru kama nitafanikiwa.
  6. N

    Naomba mnijibu swali langu jamani ni la jiografia

    Kwa kawaida kuna mwaka mkubwa na mdogo,ikiwa mkubwa una siku 366 na mdogo una siku 365 na robo.Ikiwa mwaka mpya unaanza tar 1/1 kila mwaka saa 6:00 usiku na unaisha saa 5:59 usiku tar 31/12 kila mwaka.Utata upo hapa kwenye mwaka mdogo ambao una siku 365 na robo. Je,ni kwa nini kuna robo na...
  7. N

    Oneni utata jamani?

    Baraza la kiswahili lilitumi vigezo vipi kuita majina yafuatayo kama ifuatavyo: mnyama mbwa badala ya kuita m'mbwa. Mbu badala ya kuita m'mbu. Nge badala ya kuita n'nge. Vilevile hata neno nje badala ya kuita n'nje. Naomba msaada kuhusu hizi ni kwa nini waliita hivi?
  8. N

    Je, ni haki?

    Naomba mnisaidie wenzangu,kuzuia maendeleo ya wananchi kwa sababu ya kupisha ujenzi wa barabara,na mpaka sasa wametia alama majengo ili kupisha ujenzi huo na kupiga hesabu za fidia,matokeo yake tangu mwaka jana mpaka hivi sasa ni karibu miezi nane na wananchi mpaka sasa wamesimamisha shughuli...
  9. N

    Je, ni haki?

    Naomba mnisaidie wenzangu,kuzuia maendeleo ya wananchi kwa sababu ya kupisha ujenzi wa barabara,na mpaka sasa wametia alama majengo ili kupisha ujenzi huo na kupiga hesabu za fidia,matokeo yake tangu mwaka jana mpaka hivi sasa ni karibu miezi nane na wananchi mpaka sasa wamesimamisha shughuli...
  10. N

    Deci ni kimeta?

    Jamani nyie wataalam mnaejuajua mambo mbona mko kimya kuhusu pesa ambazo wananchi tumepoteza pesa kule deci,jamani deci mbona imefanya mbaya na hatuelezani kesi ilipofikia?hivi kwa sababu zipi jambo la deci liogopwe kama ugonjwa wa kimeta?au ndio kusema kuna kitu kimejificha mgongoni kwa deci?
Back
Top Bottom