Search results

  1. M

    Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Hujajibu swali lakini. Kama haviripotiwi wewe unajuaje kama vipo?
  2. M

    Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Sasa kama hawaripoti wewe unazijuaje?
  3. M

    Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Takwimu zilizopo ni hizi za nchi kubwa kubwa. Unaweza kutafuta hata wewe mwenyewe utajionea. Kwa nchi maskini kama zetu kwa kweli sina ila bado ninaamini watoto wako salama zaidi. Mwaka 1990 mtoto alikuwa anaweza kubakwa Morogoro na watu wa Dar wasijue ila leo hadi Bukoba huko watajua tena...
  4. M

    Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Haya mambo yalikuwepo sana tu toka zamani sema siku hizi inaonekana kama yamezidi kwa sababu taarifa zinasambaa kwa kasi sana. Kitakwimu watoto wako salama zaidi leo kuliko wakati mwingine wowote.
  5. M

    Rais Magufuli atishia kuteua Mkuu wa Magereza kutoka JWTZ

    Anataka akikuchagua leo, kesho uanze mikwara kwenye vyombo vya habari.
  6. M

    "Natamani kweli ila sina hela ya lodge baby" Hili jibu K sana yaani konki

    Ila lengo si limefikiwa? Nyege zineshakatwa, tatizo nini mwalimu?
  7. M

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Sikulima si unaona kama hivi hakuna elimu ya kutosha.
  8. M

    Mke wa kaka hataki kunifulia

    Fungua kisanduku tutete, hapa wanga wengi sana.
  9. M

    Mke wa kaka hataki kunifulia

    Sikuenjoy bana. Fanya uje au ghafla Sana?
  10. M

    Mke wa kaka hataki kunifulia

    Hebu leo ukuje kwenye ile outing rafiki.
  11. M

    Busu na Kumbatio la Mwanaume huyu limenifanya Nichanganyikiwe

    Maneno si ndo haya sasa😎. Subiri mualiko tu.
  12. M

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    😀😀😀 Usiogope kwa sababu kuna watu wana njaa na hiyo kitu kuliko msosi. Yaani ni mateja wa hiyo kitu hata uwaambie nini hawaachi!
  13. M

    Busu na Kumbatio la Mwanaume huyu limenifanya Nichanganyikiwe

    Jiandae tu utafurahi mwenyewe. Au unalipiza kisasi cha watu8 kwangu?
  14. M

    MREJESHO: Toka nimwambie huyu dada nina malengo naye kiukweli amechange sana upendo umeongezeka

    Karma ni imani tu kama imani nyingine. Halafu unaweza kukuta mtu kama wewe anasema hakuna uchawi!
  15. M

    Busu na Kumbatio la Mwanaume huyu limenifanya Nichanganyikiwe

    Wewe tena? Naanzia wapi kwanza kukujaribu?
Back
Top Bottom