GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 940
- 1,277
hicho kiumbe ni cha kike au cha kiume?
Mkuu mbona hiyo picha inaonekana kama ni mimba iliyochomolewa? Kisha hicho kiumbe kutupwa mtoni.Kiumbe hai cha ajabu chenye umbo kama binadamu kikiwa na miguu mwili na mikono miwili huku kikitembea kama binadamu kimejitokeza ghafla maeneo ya shule ya Msingi Kalalasi Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa Leo tarehe 05.02.2019 majira ya saa 4 asubuhi na kuzua taharuki kwa wanafunzi na walimu shuleni hapo kabla ya wanafunzi kukirushia mawe na kufanikiwa kukiua. Mpaka sasa haijajulikana hicho ni kumbe gani.View attachment 1014334
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo katika vita vya kiuchumi.Kimetumwa na mabeberu.
Nimeangalia taarifa za habari zote hawajatangaza hii kitu.Ni fakeHizi habari ni za ukweli kabisa,
Amedhibitisha Jamaa mmoja kwa Nina namuifadhi ( nilisoma nae) anafundisha shule ya jirani, kwa maelezo yake hicho kidudu kina urefu unaokaribia futi tatu na unene/upana unaofikia sm. 40 kwa makadirio.
Anasema kiumbehi hicho kilitokea eneo la msitu wa hifadhi ulio karibu na shule tajwa, na baada ya kukiuwa wamekipeleka kituo cha polisi kabla ya kuamua kukizika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiumbe hai cha ajabu chenye umbo kama binadamu kikiwa na miguu mwili na mikono miwili huku kikitembea kama binadamu kimejitokeza ghafla maeneo ya shule ya Msingi Kalalasi Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa Leo tarehe 05.02.2019 majira ya saa 4 asubuhi na kuzua taharuki kwa wanafunzi na walimu shuleni hapo kabla ya wanafunzi kukirushia mawe na kufanikiwa kukiua. Mpaka sasa haijajulikana hicho ni kumbe gani.View attachment 1014334
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu watu wabaya sana!Kimetumwa na mabeberu.
Hafu eti twende uchumi wa kati na hizi akili za wasomi wetu. Badala yake tafiti zitaelekezwa kwa hao viumbe waliokiua maana W anaonekana wa ajabu kuliko kiumbe mwenyeweWatu wa hiyo mikoa empty set kabisa..hii ilikuwa tunu ya utafiti na ushahidi kuwa kuna vitunguu swaumu..shit!
Sijakuelewa..malizia kutafuna urudiHafu eti twende uchumi wa kati na hizi akili za wasomi wetu. Badala yake tafiti zitaelekezwa kwa hao viumbe waliokiua maana W anaonekana wa ajabu kuliko kiumbe mwenyewe