Busu na Kumbatio la Mwanaume huyu limenifanya Nichanganyikiwe

Oooh okey, now nimepata point...kwamba utaki kudate na mtu, reason ni UOGA....uliotokana na maumivu ya mapenzi uliyoyapata hapo awali.

Sasa naomba nikuulize swali, ili nijue ushauri unaokufaa.

"vipi, unaisi una hasira yoyote ile, dhidi ya wanaume au mapenzi?"
sina hasira yoyote na wanaume wala mapenzi ni kwamba nowdays na enjoy kuwa single zaidi kuliko dating someone only hii case imeingiliana ndo nashangaa
 
Habari za mda huu wana Jf, kuna issue imenikuta inanichaganya akili yangu nami nilishaapa kutokupenda tena lakini naona moyo umebadilisha gear angani. Issue yenyewe iko hivi nimekuwa na urafiki wa kawaida na huyu mwanaume, tumekuwa tuna toka out bila kufanya jambo baya, we just make stories basi.

Basi one day alinitafta tutoke out basi when we met he actually kissed me kwenye paji la uso, then hugged me tightly like three minutes heeh mie lile huggy lake ni kamata liliniingizia energy yake na kumaliza my energy and my minds changed. Tangu anikumbatie na mimi kuhisi kitu kiliingia kutoka kwake nimekuwa namuwaza mda wote hadi usiku wa manane hadi nunu yangu huloa jinsi ninavo muwaza ila yeye yuko busy tu.

Sasa wana JF wenzangu mlishawahi kukutana na situations kama yangu na mlifanya nini kujikwamua na hyo hali maana mie sitaki kupenda tena ila busu la kumbatio la mwanaume limenibadilisha akili yangu.
Nimeipenda profile picture yako,kumbe hata koku ni k.

Bomba Mvua
 
Kajiunga mwaka huu tu tayari kadatishwa amekuja kutafuta waume tu huyu
mimi nimeleta nipate ushauri wewe unahangaika na tarehe ya joining kwahyo sisi wageni wa jf haturuhusiwi ku post kitu. Naomba ujiheshimu na uache kuwaza ujinga
 
Habari za mda huu wana Jf, kuna issue imenikuta inanichaganya akili yangu nami nilishaapa kutokupenda tena lakini naona moyo umebadilisha gear angani. Issue yenyewe iko hivi nimekuwa na urafiki wa kawaida na huyu mwanaume, tumekuwa tuna toka out bila kufanya jambo baya, we just make stories basi.

Basi one day alinitafta tutoke out basi when we met he actually kissed me kwenye paji la uso, then hugged me tightly like three minutes heeh mie lile huggy lake ni kamata liliniingizia energy yake na kumaliza my energy and my minds changed. Tangu anikumbatie na mimi kuhisi kitu kiliingia kutoka kwake nimekuwa namuwaza mda wote hadi usiku wa manane hadi nunu yangu huloa jinsi ninavo muwaza ila yeye yuko busy tu.

Sasa wana JF wenzangu mlishawahi kukutana na situations kama yangu na mlifanya nini kujikwamua na hyo hali maana mie sitaki kupenda tena ila busu la kumbatio la mwanaume limenibadilisha akili yangu.
Ongea lugha yako hujui kizungu
 
The ultimate insult for insecure people who have nothing better to say. people who use this "diss" have no life themselves.

Next time choose your word carefully
relax and drink water first i don't understand why you attacked me pretending to be queen Elizabeth. You need to use common sense next time before commenting out of topic
 
Back
Top Bottom