Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,317
- 4,304
Toa mbunye hiyoHabari za mda huu wana Jf, kuna issue imenikuta inanichaganya akili yangu nami nilishaapa kutokupenda tena lakini naona moyo umebadilisha gear angani. Issue yenyewe iko hivi nimekuwa na urafiki wa kawaida na huyu mwanaume, tumekuwa tuna toka out bila kufanya jambo baya, we just make stories basi.
Basi one day alinitafta tutoke out basi when we met he actually kissed me kwenye paji la uso, then hugged me tightly like three minutes heeh mie lile huggy lake ni kamata liliniingizia energy yake na kumaliza my energy and my minds changed. Tangu anikumbatie na mimi kuhisi kitu kiliingia kutoka kwake nimekuwa namuwaza mda wote hadi usiku wa manane hadi nunu yangu huloa jinsi ninavo muwaza ila yeye yuko busy tu.
Sasa wana JF wenzangu mlishawahi kukutana na situations kama yangu na mlifanya nini kujikwamua na hyo hali maana mie sitaki kupenda tena ila busu la kumbatio la mwanaume limenibadilisha akili yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app