Mke wa kaka hataki kunifulia

Huna Adabu kabisa wewe.................Kampe mama yako akufulie alafu utaona atakacnokuambia..........!!!!!
 
wewe chizi kabisa. mke wa kaka yako ni mkeo? kwa taarifa yako wapo watu wameoa lakini wake hawawafulii nguo kisha unataka mwanamke asiye mke wako akufulie nguo?.... ili iweje?
 
mkuu mimi mbona adi maji alikuwa ananipelekea bafuni mkuu#ila simwombi anasema mwenyewe ko kama hatak usimlazimishe aiseh#sasa sijui alikuwa anaigiza maana nilikaa week 2 nikasepa
 
Back
Top Bottom