Search results

  1. M

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Uwanja gani huu, haustahili kuchezewa ligi kuu. Hauna hazi hata kidogo. Yanga wanacheza zidi ya uwanja ndio mpinzani wake mimi naona.
  2. M

    Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa nini kama halikuwa goli? Mbona basi akuamulu mpira upigwe kona wakati aliyeutoa nje kwa kichwa ni beki wa Mamelod? Badala yake akawapa faida mamelod kuanza mpira. Kuna maswali ya kujiuliza hapa.
  3. M

    Natamani kusomea Information Technology

    Njoo University of Dar es salaam Computing Centre (UCC) utapata msaada.
  4. M

    Yanga inaweza kua timu ya kwanza kufika nusu fainal CAF kutoka Tanzania

    Kama timu yako ilikula 5G na Yanga uruhusiwi kuikosoa hoja.
  5. M

    Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

    Mwazo ndio kama hayo tu, hawabadiriki, hawajifunzi. Sasa utasikia wanasema Yanga sijui freemason, wanatumia madawa, mara sijui wanaroga na mambo mengine yenye akili za mgando. Wacha sindano iwaingie kwanza. Yanga ina viongozi imara wanao kubali kujifunza kila wakati, ndio maana timu imekuwa bora.
  6. M

    Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

    Sasa watajifichia kwenye yale mashindano ya kuchaguana yasiyo na utaratibu maalumu wa timu kushiriki Yaliyokataliwa Ulaya. Teh teh te teeeeh.
  7. M

    Yanga ilikuwa na malengo makubwa sana na Kombe la Mapinduzi

    Malengo ya Yanga ilikuwa ni kuibua vipaji vipya, hasa kutoka timu ya under 20. Pia kuwapa wachezaji wa akiba waonyeshe kuwa wanastahili kubaki Yanga. Basi, hayo indio malengo makuu ya timu ya wananchi kwenye mashindano haya.
  8. M

    Azam vs Singida: Naomba sababu ya goli la Azam kutokuwa offside

    Umemsahau Yao na Sure boy nao wanakula bata. Ni mashindano ya wachezaji wanaotafuta namba Yanga.
  9. M

    Sheria ya ndoa ya mke mmoja kwetu sisi wakristo ilitoka kwa nani?

    Mkristu ni mfuasi wa Yesu Kristo. Yesu ndie njia ya kweli kufika kwa Mungu. Yohane 14:6-9
  10. M

    Sheria ya ndoa ya mke mmoja kwetu sisi wakristo ilitoka kwa nani?

    Mkristu ni mfuasi wa Yesu Kristo. Yesu ndie njia ya kweli kufika kwa Mungu. Yohane 14:6-9
  11. M

    Kumbe vita vyote Palestina tatizo ni kugunduliwa kwa gas hapo Gaza

    Kwahiyo hao hamas walitumwa na wazungu waanzishe vita na Israel sio?
  12. M

    Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

    Mwenye afya njema haitaji tabibu bali walio wagonjwa.
  13. M

    Yanayosemwa huko Algeria kuhusu tuhuma za kufix mechi ya Tanzania vs Algeria

    Kocha wa Niger alisema wataiachia Uganda ili ishinde iende AFCON baada ya mechi yao na Tanzania. Na jana Uganda wakashinda hawakupanga matokeo?
  14. M

    Inasemekana bifu zito kati ya Mtendaji wa Shirikisho na Mmiliki wa Tabora United ndio sababu ya kucheza pungufu

    Kwani kwenda na wachezaji 8 bila kuwa reserve kuna tofauti gani na kupanga matokeo? Mechi ilipaswa ihairishwe kuepuka issue kama hizi za kutia doa.ligi nzima.
  15. M

    Yanga A yatoa droo na JKU 0-0

    Lakini na wewe u.etuficha taarifa, Yanga kacheza mechi mbili za kirafiki siku moja asubuhi na jioni. Asubuhi Yanga kashinda 6. Jioni suluhu. Mbona ulalamiki kwani wamewezaje kucheza mechi mbili siku moja?
  16. M

    Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

    Sasa unalalamika nini kama kutuwa na nyomi? Kalumanzila Fc kutoka kariakoo.
  17. M

    Kipa mpya wa simba ni majeruhi

    Au walisikia Yanga inataka kumsajili wakamteka Airport? Tehe tehe teheeee.
  18. M

    Kipa mpya wa simba ni majeruhi

    Wamesikia kuna timu imekula 10-0 huku, wanaanza kujamba jamba huko kambini.
  19. M

    Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

    Acha kulalamika ngoja mwenye jezi namba 6 atambulishwe kwanza ndio upate pressure vizuri.
Back
Top Bottom