Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Muwe mnaacha kuwa wakina sheikh yahya au wapiga ramli, uyo chama amezoeleka kutikisa kiberiti ili aongezewe mkataba na maslai inapofika kipindi cha usajili, Sasa hivi anachofanya ni kuwachekecha akili viongozi wa makolo wamuongeze anachokitaka na anakwenda na upepo uliopo lakini yanga haina mpango wowote na chama wenu uyo, mkayamalize wenyewe uko msianze kumtafuta mchawi!
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Hii ya kuchukuliana wachezaji Kwa timu hizi mbili ni jambo la kawaida, yaani ni Moja ya utamaduni wao wa jadi labda kama umeanza kushabikia mpira miaka ya Karibuni. Ndio maana wanaitwa watani wa jadi. Mimi ninauzoefu wa tangu miaka ya tisini. Lisikuumize kichwa hili
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Acha kulalamika ngoja mwenye jezi namba 6 atambulishwe kwanza ndio upate pressure vizuri.
 
Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.

Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.

Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.

Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.

Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?

Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.

Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Wamsajili kama wanaweza.
 
kuna shabiki wa lunyas lia lia.ananiambia huu mwaka wa tatu utopolo hawajabadilisha bukta.wana change jezi ya juu tu.
 
Jamani si tulikubaliana mchezaji akiichoka timu anaondoka? Mbona mmekuwa wasahaulifu muda mfupi...... Feisal mlikuwa mnapambana usiku na mchana mpaka Samia akaingilia kati...............😀😀 mlikuwa mnarusha mawe wakati mnajua kabisa mnaishi nyumba ya vioo...... acheni kulia lia mpeni anachotaka kama hamna,mwacheni asepe au nayeye akasemelee Hakainde Hechilema Rais wao 🤣🤣
 
Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.

Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.

Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.

Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.

Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?

Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.

Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Kwahio unahisi yanga hawana hela
Simba mnazo
Wewe kichwa umeweka kuwa mfuniko wa mwili
 
Back
Top Bottom