Simba imesawazisha pitia kwa Jobe. Sasa ni 2 kwa 2.Mvua inanyesha kingamuzi cha Azam kimekata
Binadamu mwenzetu aliyezoea kucheza majarubaniPambaneni mnacheza na binadamu wenzenu
uto wanapelekewa motoControl kwa JKT
Tuahirishe tena?Binadamu mwenzetu aliyezoea kucheza majarubani
Acheni kudekaila kwa uwanja huu mh! huu ni utapeli..
sio swala la kudeka ni swala la ubora..Acheni kudeka
Ulivyo mfupi nani akupe namba 😂😂😂Nyie furahieni sisi huku uwanjani tunawapambania, Leo nimeanzia bench
uwanja ni mbaya sana𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘
#NBCPremierLeague
️ JKT TanzaniaYoung Africans SC
24.04.2024
Isamuhyo
10:00 Jioni
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Kikosi cha JKT Kinachoanza.
Updates...
Dk 25'
0-0
Game on, ball linachezwa kwa kuviziana hapa
DK 30'
Yanga wanakosa kosa hapa.
Bado ni
0-0
Tulicheza na Mtibwa Morogoro msimu uliopita hali ikiwa mbaya kuliko leosio swala la kudeka ni swala la ubora..