Search results

  1. T

    EPZA wafanya ufisadi; mmoja afoji safari ya nje na kulamba mamilioni

    Kuna taarifa za kiintelejensia kuwa afisa wawili wa EPZA walikuwa na ziara nchini Malaysia lakini wakakosa Visa na kisha kujifungia majumbani kwao kuzuga kuwa wamesafiri. Taarifa za ndani zinaeleza pia kuwa maafisa hao wameandika ripoti itakayokabidhiwa kwa Mkurugenzi wao katika siku mbili...
  2. T

    Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    Msitake kuharibu thread hii, niko na file toka NSSF na nimepewa tayari taarifa. Mkuu unayesemea Wizara katika thread hii kwa majina ya Salaama na Sheha, nimewaomba NSSF waingie wennyewe wajizungumzie nadhani watafika hapa leo. Lakini nikukumbushe tuko wengi tunaofanya kazi hii kwa hiyo...
  3. T

    Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    Wakuu humo nilimoweka Red. Nilijua kuwa mtu wa foreign ataibuka tu kujibu kwa kuwa sikutaja kwamba fedha hizo zinatafutwa kwa harakati za kisiasa niwaachie wanasiasa wachambue maana kazi yetu sie ni whistleblwoing tu! Hata hivyo katika taarifa yangu na nashukuru kuwa umekiri kuwa ujenzi...
  4. T

    Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    TANleaks imepata taarifa za wazi zenye uthibitisho kuwa mradi wa uwekezaji uliopo Nairobi uliopaswa kufadhiliwa na NSSF umesimama. Kusimama kwa mradi huo kunatokana na NSSF kukataa kutoa fedha sambamba na kile unachoweza kukiita cha juu (rushwa) kwa mmoja wa vigogo waliopo Wizara ya Mambo ya...
  5. T

    Waziri Membe na website ya Foreign

    And this time Mbopo will come with another story not the shit of 2015!!!!
  6. T

    Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

    Mbopo, nimekusoma kwenye thread ya Membe na Website ya MOFA, huko ulijifanya kama Mwambene Assah ambaye tunakamilisha kazi zake zitakazomwagika siku si nyingi. Lakini nashangaa wapambe wa R1 ambao wanaingia hapa kama akina Uncle Toms na kisha kumtetea bila hata yeye kuwapa taarifa. Ni kweli...
  7. T

    Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

    Codecola, usiwe na tabu TANleaks ni asasi kubwa inayoweza kupata taarifa hadi zile unazotoa kwa kunong'oneza. Najua R1 ama wapambe wake wamo humu wanashambulia thread hii, kama ana ubavu atokeze ajibu ili niibue mengine ambayo nimeyaweka pending kwa sasa.
  8. T

    Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

    Mdau online nitakuja kukupa hiyo ya Lake OIL bdaye! TANleaks ina watu wanaokusanya data maeneo mengi. Kuhusu uhakika wa taarifa hizi wala sina shaka nawaachia nyie mjiulize maswali maana taarifa yangu naamini inajitosheleza na ni ya uhakika
  9. T

    Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

    Utangulizi: Jana nimeweka thread ya mkutano wa wabunge kadhaa wa Kamati ya Nishati na Madini kisha ikang'olewa kwa kile kilichoelezwa kutojitosheleza. Lakini kile nilichokiandika kikaandikwa na gazeti la Nipashe Feb 24, 2011 katika muundo mwingine: Angalizo langu kwa MoD: Uwe na moyo wa subira...
  10. T

    Template ya kuombea fedha za kufunza umuhimu wa katiba mpya

    Mhhhhhhhhhhh, hapa naaanza kunusa harufu ya Katiba kuibwa na mafisadi! Mhhhhhhhhh, nitarejea kuona muendelezo
  11. T

    Othman bosi wa usalama wa taifa na jaji mkuu othman chande ni ndugu

    Kukiwa na malalamiko kuwa uteuzi wa Jaji Mkuu Othman Chande haukuzingatia taratibu na heshima za mahakama yaani uhodari wa Jaji na seniority, huku pia kukiwa na madai kuwa uteuzi huo ulishinikizwa na kigezo cha DINI, taarifa za ndani zinaonyesha kuwa Jaji Othman wana undugu wa karibu sana na...
  12. T

    Serikali yataja wamiliki wa Dowans

    Serikali imetaja wamiliki wa Dowans na kisha kufafanua namna mgawo wao wa fedha utakavyokuwa. Kwa taarifa zaidi subiri magazeti ama nenda THE GUARDIAN WEBSITE
  13. T

    Nyumba yenye thamani ya bilion 4 Ridhiwani Kikwete anaishi na nani humo?

    Huyo mwambieni asubiri moto wa Katiba mpya maana mafisadi wote na wanaotumia nafasi za umma kuchuma mali watakiona. Kipato chake halali kinatakiwa kufahamika kwa kuwa kasoma hapa hapa na hana biashara! Tunajua kwa kiwango kikubwa matukio ya kifisadi anayofanya yanayohusisha yeye kutumia jina la...
  14. T

    Beno Malisa, RZ1 waandaa kumpindua Shigella

    Kwa taarifa nilizopata ni kuwa habari hii ilichukuliwa hii ilichukuliwa humu na kisha kuchapishwa kwenye gazeti la Rai. Baada ya kuchapwa gazeti hilo limekusanywa mitaani halipo sasa na kisa ni Ridhwan kuomba msaada kwa baba yake ambaye katoa amri gazeti hilo lisisomwe leo.
  15. T

    Gazeti la rai laondolewa sokoni leo

    Gazeti la Rai limekusanywa leo na halipatikani kabisa. Taarifa tulizonazo zinaeleza kuwa lilikuwa na habari inayoonyesha kuwa Beno Malissa na Ridhwan Kikwete wanaandaa mapinduzi ya kumng'oa Katibu wa UVCCM Martine Shigella. Taarifa za ndani kutoka Habari Cooperation zinaeleza kuwa habari hiyo...
  16. T

    Mapinduzi Yaliyoshindwa ya DARUSO 2002/3

    Kudandia historia kumeifanya Tanganyika kutowashukuru na kuwaenzi watu halali walipogania uhuru wa nchi hii. Na hali hii ikaharibiwa na kuudwa kwa Tanzania ambako kukawa na lengo la kuficha historia ya Tanganyika kwa kuigeuzia jina la Tanzania Bara. Nimemsoma Msando kwa umakini na uwazi ni huu...
  17. T

    Mapinduzi Yaliyoshindwa ya DARUSO 2002/3

    Atafutwe mtu anaitwa Siriwa ndiye anajua mkakati ulianzia wapi na akina nai walihusika. Hao hapo wanaotajwa wala hawakuwepo na waliokuwepo walidandia basi ndio maana lilizama. Niko Tite kusaka LEAKS ZA TANZANIA niacheni kwanza na hivi vijimambo vidogo vidogo. Wewe uliyechukua fedha za China...
Back
Top Bottom