EPZA wafanya ufisadi; mmoja afoji safari ya nje na kulamba mamilioni

TANleaks

Member
Dec 22, 2010
24
0
Kuna taarifa za kiintelejensia kuwa afisa wawili wa EPZA walikuwa na ziara nchini Malaysia lakini wakakosa Visa na kisha kujifungia majumbani kwao kuzuga kuwa wamesafiri. Taarifa za ndani zinaeleza pia kuwa maafisa hao wameandika ripoti itakayokabidhiwa kwa Mkurugenzi wao katika siku mbili zijazo. Uhakika na ukweli zaidi unabainisha kuwa gharama za chini kwa mmoja wa maafisa hao zilikuwa Dola 15,000. Tanleaks inaweza kutoa taarifa zote za ufisadi huu
 
Tanzania ni ya watu wa familia chache za viongozi waliowahi kuongoza nchi hii, wataendelea kula hadi wajukuu zao. lakini matokeo yake ni kama ilivyotokea mbeya na ile ni kiduchu!
 
Kuna mkuu wa procurement nahisi kafukuzwa pale, mAana alitolewa magazetini kuwa hafanyi nao kazi tena! Yawezekana imegunduliwa ufisad wake wakamtemesha nyanga! Mwenye data zaidi atupe
 
nimefanya uchunguzi wangu sehemu waliotakiwa kwenda ni Equatorial Guinea wakakosa visa wakaamua kukaa homu siku ziishe warudi ofisini
 
Back
Top Bottom