Wakuu ninaomba kuzifahamu kiundani hizi gari aina ya Toyota hybrid C-HR.
Hasa kwa mazingira yetu ya Kitanzania inaweza stahimili? Ubora wake, na matatizo yake
Mfanyabiashara Fred Vunjabei ameandika hadithi fupi kuhusu maisha yake ya kibiashara na rafiki yake Frank Knows.
Ameandika hivi:-
[emoji117]Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na duka moja dogo sana Kariakoo (Goli), baada ya kujikusanya tulikubaliana na rafiki yangu Frank Knows twende kujaribu...
Hawa jamaa zetu akili zao wanazijua wenyewe[emoji23][emoji23] yaani wameona mashimo yamekaa kwa muda mrefu bila mamlaka husika za huko kwao kuchukua hatua, wakaona ni bora wapande migomba[emoji23][emoji23]
Kwako Mwalimu Kashasha
Wakuu habarini za usiku huu,
Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni koti ni lilelile.
Kiitifaki limekaaje hili wakuu?
Mfanyakazi wa makampuni ya IPP BENJAMINI MZINGA amemchomea mfanyakazi wa kampuni ya ujenzi kwa kuripoti tukio la kupewa rushwa ili asitoe taarifa ya wafanyakazi wa kampuni hiyo ya ujenzi kuidai kampuni hiyo.
My take
- yawezekana njemba ananyemelea uteuzi wa kale ka wilaya kamoja ka pale...
Dada zetu kama mtu haumpendi basi usimuumize kwa makusudi.
Leo jamaa yangu kamuomba picha dem wake ambaye yupo mkoa kamtumia picha hii.
Ikumbukwe mwamba alikua anakula papuchi Kwa zaidi ya miaka miwili.
Dada zetu mtuhurumie.
kijana mmoja wa kiume wa huko Kitangari mwenye umri wa miaka 33 amejikata uume pamoja na kidole (cha shahada) ili kumuondolea mambo mengi na kumtumikia Mungu.
HABARI KAMILI ITAZAME VIDEO.
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Salim Mpika, Mwenyeji wa wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi, ambaye ni...
Habarini za kuamka wakuu,
Kwenye hoja moja kwa moja,
Kitu ambacho nimekigundua hivi karibuni ni kwamba kwa mwaka 2018/2019 hakuna kabisa ugonjwa wa kipindupindu tofauti na miaka ya nyuma.
Ninachokiamini ni kwamba miaka ya nyuma Watanzania wengi tulikua wachafu na baada ya Mhe. Rais wa JMT...
………….
Bila shaka umeshakutana sana na matangazo kama haya: • Jishindie shilling milioni 50 papo hapo
• Gari ya shilingi milioni 50 inakungoja wewe.
• Waweza kuwa milionea leo.
• Nk, nk
………….
Siku hizi kumeanza kujengeka tabia ya kuhimiza watu kucheza bahati nasibu kwa nia ya kushinda mamilioni...
UKIJITAMBUA UTAFIKA MBALI SANA
………….. Maisha yako, yamo mikononi mwako KABISA.
LAKINI, katika ulimwengu huu, ni rahisi sana kuyapaki pembeni,
Ukaanza kuishi maisha ya watu wengine.
………….
Fikiria mtu ambaye kutwa kucha:
Anavaa kama staa fulani,
Ananyoa kama staa fulani,
Anahangaika kwenda na...
Alfredo Di Stefano ni mmoja kati ya watu wanaoheshimika sana katika club ya Real Madrid. Kwa miaka yote 11 aliyodumu akiwa mchezaji wa Real Madrid, Di Stefano alicheza kwa mafanikio makubwa sana. Yeye pamoja na Francisco Gento na José María Zárraga ndio waliobeba mafanikio makubwa waliyoyapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.