Naomba kufahamishwa kuhusu Toyota C-HR Hybrid

Encryption

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
996
1,339
1679865106215.png

Wakuu ninaomba kuzifahamu kiundani hizi gari aina ya Toyota hybrid C-HR.

Hasa kwa mazingira yetu ya Kitanzania inaweza stahimili? Ubora wake, na matatizo yake
 
Mkuu kila gari inahitaji matunzo tu ili ikutunze na kukupa raha ya kuimiliki, siku hizi hatuogopi tena maneno ya wabongo ya kukatishana Tamara, dunia ni kijiji kama chombo umekipenda na mfuko uko sawasawa vuta uendelee Kula maisha
 
Sawa Mkuu
 
hii gari nimeiwahi kuiona moja tu dom,ni matata sana ila hapa huwezi kupata exp ya kutosha kutokana na bongo ushuru wa gar ni mkubwa na hivyo tunishia kwenye ist
 
Ya rangi ya Njano?

Lakini kwa hizi gari za hybrid ushuru wake upo chini sana boss wangu
 
Mkuu kila gari inahitaji matunzo tu ili ikutunze na kukupa raha ya kuimiliki, siku hizi hatuogopi tena maneno ya wabongo ya kukatishana Tamara, dunia ni kijiji kama chombo umekipenda na mfuko uko sawasawa vuta uendelee Kula maisha
Matunzo hutegemea na gari ilitengenezwa Kwa kusudio Gani, mfano Africa gari nyingi zinaonekana zinahitaji matunzo zaidi kwakuwa zinatumika nje ya utaratibu
 
Nmekutana nazo 2 mikocheni

Nmepita beforwad kuzichungulia plus ushuru

Asee utachagua mwenyewe ulete prado TX la 2015 au ununue C-HR
 
Back
Top Bottom