Lindi: Akata sehemu zake za siri ili amtumikie Mungu

Encryption

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
996
1,339
kijana mmoja wa kiume wa huko Kitangari mwenye umri wa miaka 33 amejikata uume pamoja na kidole (cha shahada) ili kumuondolea mambo mengi na kumtumikia Mungu.

HABARI KAMILI ITAZAME VIDEO.
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Salim Mpika, Mwenyeji wa wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi, ambaye ni fundi mwashi, amekata uume wake na kidole ili amtumikie Mungu

Zaidi soma;

https://www.jamiiforums.com/threads...a-kwa-madai-kuwa-hauna-thamani-kwake.1227127/

https://www.jamiiforums.com/threads/ajikata-uume-akidai-yeye-ni-mungu.691316/

IMG-20190615-WA0016.jpeg

Asilimia kubwa ya Polisi wetu ni wazembe sana sehemu ambayo haina posho.

Huyo jamaa ni mgonjwa huenda ikawa anavuja damu jambo linaloweza kuhatarisha maisha yake, badala ya kumkimbiza hospitalini, wanampiga pingu na kuanza kumhoji ujinga.
 
Hahahaha daah jamaa nimeangalia video.nikajua kweli kuna binadamu wana roho ngumu mhh
 
Asilimia kubwa ya Polisi wetu ni wazembe sana sehemu ambayo haina posho.

Huyo jamaa ni mgonjwa huenda ikawa anavuja damu jambo linaloweza kuhatarisha maisha yake, badala ya kumkimbiza hospitalini, wanampiga pingu na kuanza kumhoji ujinga.
Sasa Mkuu, kwa kujiamulia mwenyewe ukaamua kujikata sasa kwann tusipate maelezo yako kiundani kabla ya kukupeleka medical
 
Mungu huhitaji ukamilifu wako ktk kumtumikia. Kukata viungo hivyo manaana yake viungo hivyo vina nguvu kushinda Mungu
 
Sasa Mkuu, kwa kujiamulia mwenyewe ukaamua kujikata sasa kwann tusipate maelezo yako kiundani kabla ya kukupeleka medical
Ni kweli kabisa maelezo ni muhimu ila yangefanyikia hospitali.
Huenda ikawa huyo jamaa ni mgonjwa wa akili pia.
 
Dohhh🙄🙄🙄🙄🙄 pazito hapo, kweli imani achana nayo ndio maana watu wanajifunga mabomu na kijikabooooom 💥💥💥💥
 
Atakuwa amekimbia kuhonga na ukizingatia alikuwa na kibamia!!
Atakula kwa macho sasa na hata akifungua huduma madada was miaka hii watamsumbia sana maana wapiga jeki maziwa yao utadhani ni bikra.
Wengine wanavaa mibano na vimini vya haja!
 
Back
Top Bottom