Search results

  1. shokoshugi

    Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

    Umejuaje ni malaya? Je unajua wakiingia ndani wanafanya nini ?
  2. shokoshugi

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Natamani kuagiza sex toys , hii biashara ni halal hapa bongo? Maana naona inafanywa kwa kificho haswa. Ila naiona fursa yake. Je unaweza kuniagizia?
  3. shokoshugi

    Ushauri: Nimeombwa nikatoe ushahidi wa uongo mahakamani, niko njia panda

    Isije ikawa wewe ni mmoja wa matapeli hapa unatengeneza defense mechanism
  4. shokoshugi

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Naomba kujua Kuna fee yoyote mtu akiagiza anachangia mbali na gharama nyingine ? Kama hakuna kwanini ? Fanya mpango wa TV na gadgets nyingine utapanua wigo kama ukiifanya kibiashara . Ukiondoa Meli je hizo items kubwa kubwa haziwezi Kuja na ndege ?
  5. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Hii naanza kuifanyia kazi leo
  6. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Historia labda , mlango upo perfect mninga umenyooka kabisa
  7. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Sitaki kero za mwenye nyumba + Aina ya kazi
  8. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Nakunywa vyombo certified . Hilo ondoa shaka
  9. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Hapana boss napanda hizo Bajaj nikiwa Sina usafiri ila nashukia njiani
  10. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Leo as we speak nimenunua ubavu mzima wa nyama pendwa , kuifikisha tu ndani ndio mlango umeniletea wenge kuliko siku zote mpaka nimeandika uzi
  11. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Wametumia kobiro and the likes kupima kila kitu kiko Sawa. Akiondoka unampa posho ya kumuita
  12. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Hapana mkuu labda nimefanya kosa la kiufundi ?
  13. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Sijawahi fanya hizo Imani na siziamini naamini sana science ila kila law nayoitumia hai apply
  14. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Hili nimeshalifanya halikusaidia
  15. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Unanitisha mzee baba sikuwahi kuliwaza hili asante
  16. shokoshugi

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Asante hujatoa ushauri
Back
Top Bottom