Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

Nilidhani hivyo kama wewe na kujaribu kuita mafundi (zaidi ya mmoja) ila tatizo lipo

Tumia chumvi ya mawe uzungushie katika hiyo nyumba kwa kunuia maneno kuwa kila jambo baya lipndoke .

Fanya hivyo huku na wewe ukiongea unatia katika ndoo size ya kijiko cha mboga kwa siku7-21

Hilo tatizo kitakuwa limekuwa solved.

Usisahau kunipa mrejesho mkuu
 
Unafanya
Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.

To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.

Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .

Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.

Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
[/QUOTE

Rafiki Je hiyo hali inakutokea ukisha lewa au ukiwa sawa?maana hapo umesema ni wewe ni mtu wa vyombo.

Ushauri:Usikimbilie kudhani labda ni mambo ya giza.Fanya tuu uchunguzi utakuwa kujua mahali ipepoe unapoingilia.

Inaweza ikawa ukuta wa mlango umeinama.Ila kwa macho huwezi kuona.
 
Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.

To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.

Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .

Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.

Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
Hama
 
Ni upepo funga vizuri
 
Tumia chumvi ya mawe uzungushie katika hiyo nyumba kwa kunuia maneno kuwa kila jambo baya lipndoke .

Fanya hivyo huku na wewe ukiongea unatia katika ndoo size ya kijiko cha mboga kwa siku7-21

Hilo tatizo kitakuwa limekuwa solved.

Usisahau kunipa mrejesho mkuu
Hii naanza kuifanyia kazi leo
 
Hilo nalo ni ttzo..! Si uhame.? Watu tunatamani kuacha nyumba tulizojenga kwa gharama nikapange maana kila siku maradhi hayaishi. Kuna mtumishi aliniambia kuna watu walifukia vitu hapa..
 
Back
Top Bottom