Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu,,hata vitu vidogo vidogo unaagiza?, mi nna shida na fast charger ya kuanzia watts hata 80 kwenda juu,,inawezekana kupatikana?
Nahitaji kama hii ya Oppo watt80
Screenshot_20240404-173644_Samsung%20Internet.jpg
 
Nahitaji water pumps za diesel inch 3-4 pamoja na walking tractor aka powertiller
Fungua alibaba.com , tafuta item husika, kisha nipe link yake na nitafanikisha kuitoa china na kukufikishia mahala ulipo
Mwl.RCT nahitaji kujua jinsi ya kuagiza na kulipia bidhaa kupitia Alibaba. Na process gani zinatakiwa nizifanye mpk niipate bidhaa yangu hapa Tanzania
 
Natamani kuagiza sex toys , hii biashara ni halal hapa bongo? Maana naona inafanywa kwa kificho haswa. Ila naiona fursa yake. Je unaweza kuniagizia?
 
NJIA ZA MAWASILIANO
Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Whatsapp: +255 788 203 160
3. Telegram: @MwlRCT
 
Back
Top Bottom