Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

Ukila kitimoto pakaza mafuta yake kwenye bawaba na fungia mifupa juu ya mlango, zaidi kojolea kizingiti cha mlango uone kama hiyo hali itaendelea. Ikiendelea bhasi jua ni hali ya mlango tu na upepo na si ishu za vigagula
Leo as we speak nimenunua ubavu mzima wa nyama pendwa , kuifikisha tu ndani ndio mlango umeniletea wenge kuliko siku zote mpaka nimeandika uzi
 
Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.

To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.

Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .

Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.

Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
Kabila lako please kama kutoka tanga sitoshangaa maana ndo akili zenu zilipo ishia kuendekeza kulogwa shida mlango mlete fundi alekebishe imeishia hiyo
 
Umesema wewe ni mtu wa vyombo kiasi , je hii hali hukupata ukiwa vyombo au ukiwa mzima ?

Kwa sababu kuna wimbi la mavyombo nasikia ni feki ukiyanywa unaweza lala ata chooni kichwa kikiwa ndani ya sink la choo.
kama smart sijui imekuwaje siku hizi, bora hata dauble kiki.
 
Ushauli wangu wewe ni mpumbavu. Siutafute fundi, milango samtimes ata ukifunga na funguo unakuta uko wazi tatizo zinakuwa bawaba zimechoka au zinataka Gris.
...'Milango sometimes ukifunga na funguo unakuta uko wazi'...!

Hali hiyo kwako unaiona ni ya kawaida na ishakutokea mwenyewe?

Mimi nasema hivi mlango uliofungwa kwa funguo hauwezi kujifungua wenyewe bila kuwepo na kani kubwa iliyosababishwa na mtu au kitu.
 
😁😁😁 sijazijua hizo bado mkuu ,kvant na nyagi nasikia kuna fekero za kutosha.
ni hizi pombe zetu vijana maskini
20240114_225224.jpg
 
Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.

To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.

Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .

Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.

Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
Ukifunga na funguo haufunguki, basi huwe unafunga na funguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom