Search results

  1. O

    Kwa wale waujuao mji mkuu wa Namibia, Windhoek nipeni uzoefu na ushauri.

    Windhoek ni mji mzuri na msafi sana..watu ni wakarimu pia. Kuhusu vyakula, mostly wanaimport kutoka South Africa. Sehemu kubwa katika mlo wao ni nyama. Kama walivyotangulia kusema biashara nyingi zinamilikiwa na wazungu au coloured. Kuna social classes, first class ni wazungu wenye asili ya...
  2. O

    Samweli Sitta, fanya mdahalo na wafanyakazi wa TAZARA kwanza

    Mdahalo wa nini...yeye si mwanasheria? Kama ana ushahidi aende mahakamani. Hatudanganyiki kirahisi hivyo. Mdahalo hautamsaidia mtz kupata lilichopetea
  3. O

    Kingunge, Kone na Msindai wanaratibu mpango wa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM, Kikwete ndani ya NEC

    Lizaboni unaboa na story zako za kufikirika...nadhani ifike mahala ujifanyie self assesment.
  4. O

    Mwakyembe uwe na aibu!

    Mnafki mwingine katika siasa za bongo
  5. O

    Bongo Lounge in Guangzhou, China

    Hongera Madina
  6. O

    Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Naomba namba yake ya simu
  7. O

    AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

    Huyu alieandika post lazima ni Mulugo mwenyewe.
  8. O

    AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

    Petro ukiingia kwa web site ya bunge mwaka ni 1955
  9. O

    Sakata la Tegeta Escrow: Mengi awavaa Masele, Wassira na Maswi

    Hauko serious...kuwekeza kwenye gas kupitia TPDC? Hawa walio inflate gharama mara dufu? Embu shirikisha ubongo wako. Soma repoti ya baraza la ushauri EWURA
  10. O

    Kiwanja Buyuni kinauzwa

    Hizo block ziko kwa namba na wala sio sillabi/herufi.
  11. O

    Kiwanja Buyuni kinauzwa

    Kipo block gani?
  12. O

    Nasari agharamia harusi ya shemeji yake huku shule ya msingi alipozaliwa yafungwa kwa kukosa choo

    Mleta mada kilaza sana...watu kama nyie ndio mnaoangusha hadhi ya JF na GT. Think big.
  13. O

    Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Dah huyu jamaa hapa round about (Lake Oil) nami kaniambia nikienda kituoni na kupata hizo stika atanirudishia buku 5 na elfu 2 za usumbufu. Huu ni mradi wa wakubwa.
  14. O

    Viongozi wa CCM wilaya ya Mbinga wamtetea afisa elimu mwizi

    Ligera wewe ni mchumia tumbo tuu kama wengine.
  15. O

    Prof. Mlambiti wa SUA - Jiwe lililosahaulika

    Dah mleta mada umenikumbasha mwalimu wangu Mlambiti...
  16. O

    Viongozi wa CCM wilaya ya Mbinga wamtetea afisa elimu mwizi

    Ligera imevuta ngapi kwa huyo mkurugenzi? Hata kwa JIK hiyo hasafishiki. Kajipange upya. Unatumika kama T paper.
  17. O

    Wizi mtandao wa Vodacom

    Wanakera hawa balaa...nililipia DSTv kupitia huduma yao ya M Pesa. Nikaletewa notification na risit. Kwa mshangao DSTv hela hawajapata. Pamoja na kwenda kwenye ofisi zao mara likuki mpaka danadana. Gharama za kufuatilia nikaona inataka kuzidi premium amount niliolipa DSTv nikaamua kuacha. Wezi...
Back
Top Bottom