Gharma hiii ni kweli au tumeliwa

mil.400 jamani mkumbuke sio laki 4 hiyo aseee ...Edit thread mkuu iandike kwa tarakimu waone Misifuri ilivyo mingi kwenye hiyo hela.

TATA hizo mil 400 ASUBUTUUUU
Hizo ni tata kubwa hiyo bei ni pesa taslimu, MKOPO huwa inafika hadi milioni 270 kwa moja
 
jamani jamani...

milioni 407 ni sawa na viTata v4 na Tena Kama unalipa cash unapewa na nyongeza

Au vimetengenezwa Kwa teknolojia ya ndege Useme vinapaa Kama helikopta.!?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
tapatalk_1565957058164.jpeg
 
Sisi tunashukuru, kwa sasa tutatoka Mazimbu to Main campus kwa uhakika kabisa go and return bila kupata breakdown, tunaamini chenji zimeenda kwenye shamba darasa.
Ova.
 
Nina rafiki yangu Tanga anazo Tata 14,na zote amenunua mpya,tena kwa taslimu (si mkopo),na ni ndani ya miaka mitatu,ila hajawahi kumiliki 500 milioni kwa wakati mmoja kwenye account zake zote.
 
Back
Top Bottom