Viongozi wa CCM wilaya ya Mbinga wamtetea afisa elimu mwizi

Naomba unijibu maswali yafuatayo
1. Nani anasimamia Ujenzi wa maabara...na je ni mtumishi?
2. Nipe gharama halisi za mradi wa maji kingerikiti
3. Ununuzi wa pikipiki na solar toka Kampuni ya KICHEN kariakoo dar ulipitishwa na kikao gani?
4. Ujenzi wa jengo la ghorofa mbinga girls sec pale kigonsera uliidhinishwa na kikao gani

Jibu haya ntakuja na maswali zaidi

kumbe nyie mnachodai ni kushirikishwa ktk madili hayo. lakini hizo zote ni shughuri za maendeleo na kama zimekamilika hamna shida . Mi nilifikiri kakwapua ela kama D.E.O
 
kumbe nyie mnachodai ni kushirikishwa ktk madili hayo. lakini hizo zote ni shughuri za maendeleo na kama zimekamilika hamna shida . Mi nilifikiri kakwapua ela kama D.E.O

Jibu maswali acha porojo mradi wa maji kingerikiti umekamilika?
 
Mwenyekiti wa ccm wilaya na viongozi wenzake wameingia katika tuhuma za kumtetea afisa elimu msingi bwana David Mathias Mkali kwa ubadhirifu wa fedha zaidi ya milioni 200.

Huyu afisa elimu ni mjanja mjanja kwani mara kwa mara alionekana kuwezesha vikao vya chama wilaya , na gharama nyingine za kuendeshea ofisi za chama. Kama wafanyavyo wezi wengine huiba na kujibana kwenye CCM wakiamini watapata ulinzi.

Huyu afisa elimu watu walisha mtabiria tangu mapema kwamba hawezi kudumu katika nafasi hiyo kwa sababu ana penda mno madili ya pesa. Tayari yametimia kwani amedumu na cheo hicho kwa takribani miaka minne tu na sasa amesimamishwa kazi na ana kesi tano za kujibu mahakamani ikiwa ni pamoja na kumdanganya mwajiri mwajiri wake.

Alianzisha michango ya mitihani wilaya nzima kila mtoto wa darasa la saba na la nne kuchangia elfu saba tangu mwaka 2011 na takribani wanafunzi wa darasa la saba zaidi ya elfu 40 kwa miaka yote mitatu walichangia account hiyo hivyo kufanya jumla karibia milioni 280.

Vilevile darasa nne nao wamechangia takriban na kiwango hichohicho lakini cha ajabu bado alikuwa anaomba fedha za kuendeshea mitihani toka kwa mkurugenzi. walimu wakuu walitakiwa kuingiza michango hiyo kwenye account maalumu aliyoianzisha ya UWEKAMBI na watia sahihi wa accounti hiyo inadaiwa kuwa ni waratibu, na mmoja inadaiwa kuwa ni swaiba wake.

Malalamiko yalianza kujitokeza takribani miaka miwili iliyopita toka kwa waratibu elimu kata alipoitisha kikao na baada ya kikao hicho aliwasainisha posho ya laki 7 halafu akawapa bahasha wakafungulie nje kila mtu alipofungua bahasha alikuta kawekewa elfu 35 tu yaani misimbazi mitatu na elfu tano moja.

Wale waliolalamika walinyang'anywa vyeo vyao huku wengine wakitishiwa majina yao yameandikwa kwa penseli hivyo haoni shida kuyafuta.

Mara ya pili tena aliwasainisha laki 4.5 na wakapewa bahasha yenye elfu 15. vyeo vingine usiombe kuvitumikia .

Tangu yeye aje wilaya ya mbinga hakuna hata mwl aliyewahi kulipwa au kugharamiwa gharama za masomo lakini fedha alikuwa anaomba na anapewa nadhani kamati iliyoundwa kufuatilia madudu hayo hicho ni kipengele kingine cha kukichunguza .

Takribani wiki tatu zilizopita aliwaagiza waratibu wilaya nzima waandamane kupinga uamuzi wa DED kuunda kamati ya kuchunguza malalamiko na kuwatisha asiye fanya hivyo atamvua madaraka lakini polisi waliyazuia maandamano baada ya kuambiwa hao wametumwa ni vibaraka.

CCM acheni vyombo vinavyohusika vifanye kazi yake , acheni kuwatetea wezi wa mali ya umma . Mkiwa mnawatetea wezi ufisadi hauwezi kwisha.

Ligela kumbuka hapa jf ni great thinker.Tunaomba ushahidi wa mambo uliyoyasema
1.ni kiasi gani cha fedha za mtihani std iv kimekusanywa maana nami ni mjumbe wa kamati ya shule sijawahi kusikia wala kukusanya fedha hiyo shuleni pangu
2.ww ni mwn ccm hadi ushuhudie mkali anafadhili vikao vya ccm?
3.pesa mtihani std 7 kajipange upya na ded wako.mitihani tumeona inafanyika na matokeo na ww na ded wako mnayo
4.tupe mfano wa majina ya:-
a/waratibu waliotishiwa kufutw uratibu.
NB:UKISHINDWA KUTHIBITISHA HAYA UTAKUWA UMETUMWA NA DED ALIYEKWISHA DEAD.
 
ded mbinga ataondoka na kwa uzuri vijana wa kazi wameshatoka mbinga na kazi wamekamilisha hvo hana tena ujanja

na wamejionea wenyewe ded alivyo fisadi papa
=anatumia magari ya halimashauri kuendesha biashara haramu ya magoma.
 
siwezi kurudi kumjadili mkurugenzi kipenzi cha wana mbinga. DEO ndiye mwenye kesi ya kujibu mahakamani kwa wizi wake na mkurugenzi hana kesi yoyote ya ubadhirifu inayomkabili.

moods ule uzi wa kule unaomhusu mkurugenzi uleteni huku muunganishe na huu kwani yale ni majungu hakuna data zozote .

labda huyo mkurugenzi ni kipenzi chako na mkeo,wana mbinga gani unaowasema wewe watampendaje mtu anayewaibia kwa njia ya magoma?
 
DED Mwenyewe hata miaka miwili hajamaliza hizo fedha kaiba lini , na hiyo ndio wilaya yake ya kwanza kuwa DED bado kijana si kwa umri tu pia hata kimadaraka. Semeni mlizoea wizi wakati akiwa DED aliyeondoka bwana Mnunduma sasa huyu kaja kaziba njia zenu za wizi sasa mnaanza majungu. Mnapaswa kujua haya mambo ya damu unaweza kupendwa na huyu akija mwingine akakuchukia au akakuchukia huyu akija mwingine akakupenda cha msingi ni kukubaliana na mazingira yaliyopo .

ded alikuwa mwizi tangu sekondari ww unashangaa kukaa miaka 2?
Capt 2013/2014 1/4 moja wapo kaiba zaidi ya 50ml
mbaya zaidi huyo mkurugenzi wako anafisadi mpaka pesa ya majeneza ya watumishi hususani walimu! Hakuna ded hapo kuna mwizi tu.
 
Naomba unijibu maswali yafuatayo
1. Nani anasimamia Ujenzi wa maabara...na je ni mtumishi?
2. Nipe gharama halisi za mradi wa maji kingerikiti
3. Ununuzi wa pikipiki na solar toka Kampuni ya KICHEN kariakoo dar ulipitishwa na kikao gani?
4. Ujenzi wa jengo la ghorofa mbinga girls sec pale kigonsera uliidhinishwa na kikao gani

Jibu haya ntakuja na maswali zaidi

na laki 2 na gunia 5 alizopeleka kwenye vituo vya kambi std vi kiliidhinisha kikao gani?
 
Kambi za vituo gani? Kawalipa kiasi gani kumtetea humu jamvini..? Njaa zitawaua hasafishiki huyo na wananchi wameshaandaa hati ya mashtaka na ushahidi lukuki tukutane mahakamani
 
Ligela kumbuka hapa jf ni great thinker.Tunaomba ushahidi wa mambo uliyoyasema
1.ni kiasi gani cha fedha za mtihani std iv kimekusanywa maana nami ni mjumbe wa kamati ya shule sijawahi kusikia wala kukusanya fedha hiyo shuleni pangu
2.ww ni mwn ccm hadi ushuhudie mkali anafadhili vikao vya ccm?
3.pesa mtihani std 7 kajipange upya na ded wako.mitihani tumeona inafanyika na matokeo na ww na ded wako mnayo
4.tupe mfano wa majina ya:-
a/waratibu waliotishiwa kufutw uratibu.
NB:UKISHINDWA KUTHIBITISHA HAYA UTAKUWA UMETUMWA NA DED ALIYEKWISHA DEAD.

naona unajitahidi sana kumtete DEO mwizi, na hiyo kesi hatoki . unasema huijui hiyo michango wakati watoto wanafukuzwa shule kwa ajiri ya hiyo michango . halafu kafungua akaunti ya uwekambi mtia sahihi kamweka hawala yake mratibu wa mbinga mjini mweusi kama mkaa wa myombo . ni kikao gani kiliketi kuwateua watia sahihi wa account ya uwekambi. Waratibu wote wenye sifa kawaondoa kaja yeye kateua waratibu mioga mioga ili akiwatisha kidogo tu iogope. walimu wananyanyasika sana, yeye amejigeuza mungu mtu. ana honga madiwani ili wamtetee upuuzi wake. hizo fedha anazohonga afadhari atunze ale na mke wake. Mwisho anachangisha wazazi fedha za tsm 9 kila mtoto 3000 wakati serikali inamlipia kila mtoto. Walimu wakuu wameshahojiwa na wameeleza kila kitu kwamba ni kweli fedha walikuwa wanaingiza kwenye akaunti ya uwekambi kwa miaka mitatu mfululizo. Huyo afisa elimu ni mwizi na hukumu yake inabidi anyongwe . siku ya kesi yake tuonane mahakamani anavyojitetea . Anawalazimisha walimu waache ndoa zao wakalale usiku kwenye makambi ya darasa la saba likizo nzima ya mwezi june. mwl wa kike akalale kwenye makambi ya std wiki mbili kama si kutaka kumvunjia nyumba yake. au anataka walimu waambukizane ukimwi huko makambini kwa sababu haiwezekani mwl wa kiume haache nyumba yake na mwl wa kike naye hamwache mume wake wakalale kambi wiki mbili unategemea nini , huyu bwana mkali si wa kumtetea acha apambane na kesi yake na yeye haone adha ya kunyanyasa wenzake. Tunamsifu DED kwa maamuzi magumu aliyoyafanya ya kumpeleka mahakamani huyu afisa mwizi , tunasema ni maamuzi magumu kwa sababu yule DED aliyehama alikuwa anaogopa kurogwa , walimtisha , sasa ole wake apate matatizo DED wetu kipenzi cha wananchi wa mbinga. upo hapo mkuu.
 
uwekambi ipo kisheria na ded wako anajua.
Watia sahihi wanachaguliwa na wajumbe husika au ulitaka awe ded
pesa ya tsm9 2012 na 2013 anayo ded nashangaa unavyo mtetea mtu mwizi kama ded hana hata haya.
Deo kafanya kazi elimu juu hadi tunapata ngao ded wako kafanya nini zaidi ya wizi?
Hata kama ded alikukopesha magoma hukumu iko palepale.
Ded ni kipenzi cha wewe na mkeo baadhi ya watoto wako hawataki hata kumwona mwiz wako huyu ded
 
You are fighting the wrong enemy.
Muzeye ameagiza maabala zijengwe na zikamilike ndani ya miezi miwili!, hajatoa hata mia, wakuu wa mikoa wametishiwa kifukuzwa kama hawatatekeleza agizo, hao hawana mafungu, hivyo wote wanawachimba mikwala wakurugenzi wakwapue pesa popote zitakapopatikana kwa njia yoyote.

Ndio maana wengine wanakata mishahara ya waalimu, wanakwapua hela za mitihani ya taifa, michango ya ajabu ajabu kwa wananchi n.k

Sasa nyie mnaongelea eti ushirikishwaji, eti vikao havikukaa! Watu wanaanua ngoma juani kulinda vyeo.

Wahurumieni wakurugenzi, acheni majungu
 
uwekambi ipo kisheria na ded wako anajua.
Watia sahihi wanachaguliwa na wajumbe husika au ulitaka awe ded
pesa ya tsm9 2012 na 2013 anayo ded nashangaa unavyo mtetea mtu mwizi kama ded hana hata haya.
Deo kafanya kazi elimu juu hadi tunapata ngao ded wako kafanya nini zaidi ya wizi?
Hata kama ded alikukopesha magoma hukumu iko palepale.
Ded ni kipenzi cha wewe na mkeo baadhi ya watoto wako hawataki hata kumwona mwiz wako huyu ded

mkuu aliyefikishwa mahakamani ndio mwizi
 
Back
Top Bottom