Search results

  1. aronstephy

    Ombi Kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufuatilia kwa ukaribu Baraza la ardhi Sumbawanga

    Mabaraza yaliyowekwa na hii wizara ili kutatua migogoro kwenye ardhi na sio migogoro ya kifamili kwa sehemu kubwa yamefanyika kuwa kero kwa wananchi haswa wenye uhalali wa umiliki wa ardhi kwa viongozi husika kuendekeza rushwa sanaa.(Sijui posho zao haziwatoshi) Kumekuwa na ucheleweshaji wa...
  2. aronstephy

    Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

    Habari ya kazi Wakuu. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
  3. aronstephy

    Roho Mtakatifu na Mwamini

    Shalom Shalom. Habari ya jioni. Hongereni kwa Ibada na mapumziko ya wikendi. Leo naomba kwa uchache tushirikishane juu ya Roho Mtakatifu. Kama sehemu ya Utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu. Ikiwa wiki moja imetimia sasa tangu sherehe ya pentekoste. Kuna mambo ningependa...
  4. aronstephy

    Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  5. aronstephy

    Yuko wapi Charles Jangalason?

    Huyu Mtumishi wa Mungu aliekuwa akihudumu zaidi katika uimbaji nyimbo za injili ...alikuwa akisikika sana siku za nyuma na nyimbo zake zilikuwa na mafundisho mengi sana sio tu kwa watu walimpokea Bwana Yesu ila na wale ambao bado hawajampokea. NYIMBO ZAKE: Na nyimbo nyingine nyingi...
  6. aronstephy

    Mashine ya Kushonea Mashweta Inahitajika

    Habari,Mashine aina hiyo hapo chini kwenye picha inahitajika,kwa yoyote anaeiuza awasiliane nami kupitia namba hii 071-667-9229 ili biashara ifanyike.Napatikana Dar es salaam.
  7. aronstephy

    Msanii Kala Jeremiah yuko wapi siku hizi?

    Nadhani wengi wenu humu mnamfahamu huyu msanii wa miondoko ya Kufoka wanaita HIP HOP, alikuwa moja ya matunda ya Bongo star search.. Ni muda sasa sijamsikia na Wimbo wowote ule mpya .. Ningependa kufahamishwa kama kaachana na Muziki au la! Niko nasikiliza Kibao chache cha NI NDOTO..
  8. aronstephy

    Mapishi ya Vibama vya ndizi,

    Habarini Wakuu , naomba kwa anaejua utaalam wa mapishi ya vibama vya ndizi anifundishe .. Nasubiri mrejesho toka kwenye wataalam
  9. aronstephy

    Kuna siri gani nzito katika hizi movie?

    Madirector na watunzi wa hizi story katika hizi movie, Constantine (2005), The Devil's Advocate(1997), kuna siri gani nzito walitaka kufikisha katika hadhira husika, au ni ujumbe gani walitaka kuuonesha katika jamii. Kwa wale wadau walio fanikiwa kuziona hizi movie mbili na nyingine nyingi za...
  10. aronstephy

    Kipindi cha Ngazi Kwa Ngazi by Salama Jabir

    Hichi kipind kwako umekuonaje..?
Back
Top Bottom