Kipindi cha Ngazi Kwa Ngazi by Salama Jabir

hebu andika vizuri tukuelewe,kipindi amekionaje nani?unadhani watu wote wana muda wa kutazama tv?elezea kuna kipindi kinaitwaje na kinarushwa tv gani na saa ngapi,na kama kipo youtube tukifuatilie...
Hapa hajauliza watu wote, kauliza walio angalia kama hukuangalia swali hili halikuhusu kujibu.

Si lazima kujibu au kuchangia kila kitu. Mkuuu
 
Salama na her team wako very talented, clean graphics, good location.
But poor contents. Hakina contents nzuri na kina mbwembwe kibao na nyingine hazina maana.
Yani bahati ni kuwa host ni salama.
 
Back
Top Bottom