Search results

  1. H

    Elections 2010 NEC ni taasisi mojawapo kama uvccm na uwt ndani ya CCM, hili limewekwa hadharani

    pengine iwekwe hadharani kuwa tume ya uchaguzi ni moja ya taasisi zilizowekwa kwa ajili ya kuibeba ccm. Hii imewekwa wazi na mmoja wa wapiganaji wetu ambae amesema wazi daima ccm imejiwekea utaratibu wa kuwa na watetezi ktk kila secta mfano.bot,mahakama,nec na sekta nyingine na inafanya kazi...
  2. H

    Elections 2010 Magufuli apeta,jk abanwa vibaya jimbo la chato,,shinyanga ,meatu,maswa-chadema

    Ndugu wana jf,, matokeo rasmi yametolewa kupitia star tv sasa saa12.36 na twangoja bukombe,same masharili,mbeya na mengine.
  3. H

    Elections 2010 Wenje ashawishiwa ajitoe, shinyanga yadaiwa kuibiwa kura

    kwa taarifa zinazoendelea kusambaa shinyanga,, mgombea wa chadema bwana shelembi ameibiwa ushindi wake na kusababisha hali ya mchafuko kutokea sasa huko shinyanga.. Pia kwa habari zisizo rasmi mkapa na jk wako mwanza wakimshawishi bwana wenje akubali kushindwa au kujitoa ktk mchakato.. Binafsi...
  4. H

    Elections 2010 Hali ya Anne Kilango - Same Mashariki

    Jamani anaejua matokeo ya same mashariki tafadhali tujuzeni
  5. H

    Elections 2010 Matokeo tarime,hai,same mashariki,ukerewe,kahama,bukombe na shinyanga vipi??

    Jamani watanzania naomba mnitaarifu majibu ya majimbo hayo hapo juu.
  6. H

    Elections 2010 JK mhubiri hodari asiyejua akihubiricho (amekurupuka kwa hisia tu)

    Hali hii kweli inashangaza kabisa. Ungelitegema JK na CCM kwa kile wanachokiita ni wazoefu wa utawala wangelikuwa mstari wa mbele kusema "YOTE YANAWEZEKANA" lakini wao sasa wamekuwa mstari wa mbele kudai "YOTE HAYAWEZEKANI." Hili linashtua ...sana kwa Chama kinachodai ni mbunifu wa njozi ya...
Back
Top Bottom