H harrysonful Member Oct 27, 2010 34 0 Nov 1, 2010 #1 Jamani anaejua matokeo ya same mashariki tafadhali tujuzeni
Mhafidhina JF-Expert Member Feb 6, 2008 549 22 Nov 2, 2010 #5 Jamani hivi kuna mtu ana matokeo ya Ayubu Ryoba yule aliekua mtangazaji na mwanaharakati alikua anagombea kupitia kwa ticket ya CHADEMA
Jamani hivi kuna mtu ana matokeo ya Ayubu Ryoba yule aliekua mtangazaji na mwanaharakati alikua anagombea kupitia kwa ticket ya CHADEMA