Search results

  1. Ally Abdulrahman

    Ajira Jeshi la polisi

    Tangu walivyotangaz hizo ajira sijaon hat mar moja kufunguk . Vp wew iliwez kufunguk
  2. Ally Abdulrahman

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Nilitakag kufa Maji mikadi beach 2018. Nilikuw na demu Ila yey Alikuw Maji mafup Mim nilikuw kwny Maji ya kifuani nilikanyag shimo flan nazan nikaw nimekosa balance miguu chin haifik juu nikipand nakunyw vikombe dah sitosahau nilitulia Kam sekunde 5 nikajipa moja kwmb Nisipojisaidia mwnyew...
  3. Ally Abdulrahman

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Swimming pool ina kawaida na kukukataa kivyovyot Tu. Ndio maan si vizur kuoga peke yako
  4. Ally Abdulrahman

    Kuna watu wameitwa kwenye interview shirika la Posta(Tanzania postal corporation)

    Sijapigiw mkuu pale tumeliwa elfu 7 zet na garam za Ku certify vyet na usumbuf juu
  5. Ally Abdulrahman

    Dereva natafuta ajira.

    Kw mfano juz Kati nilipita maeneo ya kisemvule nikakut watu wat wamekaa nje ya geti la Simba logistics nikauliza kun nn nikaambiw ni maderev wanatafutea ajira kuna maroli yalikuja hapo mengi.
  6. Ally Abdulrahman

    Dereva natafuta ajira.

    Nenda kwny mayadi makubw na CV yako humu hamn Matajiri WA malori
  7. Ally Abdulrahman

    Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

    ASante. Kw shamb ambalo halijasafishw maybe inawez kuw bei gan
  8. Ally Abdulrahman

    Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

    Katav nawez kupat hekar kuanzia 30 mpak 50
  9. Ally Abdulrahman

    Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

    Ndio maan natk eneo kwnz then nitalim kilimo Ch Biashar kulingan na eneo lenyew
  10. Ally Abdulrahman

    Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

    Ni Biashar mkuu. Investment inatak pesa Tu na wala sio kingn . So natak eneo kubw ndio maan
  11. Ally Abdulrahman

    Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

    Tofauti tofauti. Nafaka Kam vile mahindi,Ufuta, Mpunga. Maharage, pilipili, karoti , vitunguu. Matunda na mboga mboga . But naamini kupata Ardhi kwnza kitu Ch msingi. Ijapokuw nikipata hat 50 kw pamoj sio mbaya.
  12. Ally Abdulrahman

    Anahitajika Afisa Masoko

    Ushauri. Ondoa kigezo Ch eneo sbb unawez kuw na weny sifa kibao lkn sio eneo Hilo ulotaja Ila wameon tangazo. Dar ni Kanda moja
  13. Ally Abdulrahman

    Kuna watu wameitwa kwenye interview shirika la Posta(Tanzania postal corporation)

    Pengine kulikuw na ka.mchez kwny zile ajira za poast. Mimi ni mmoj ya walipelek Barua lkn mule ndan ukiingia straight unaend counter kulipia Bahasha then unasepa lkn kulikuw na wadada Kam 10 au 15 hiv walikuw kwny vit pale na Bahasha zao na wao ni waombaji inaonekan. Ila Ch kushangaz WAliambiw...
  14. Ally Abdulrahman

    Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

    Habari zenu wakuu. Natak nifanya kilimo Biashara lakini nahitaji eneo kubwa Sana. Je, mnanishauri nianzie wapi kwa wazoefu au wenye uelewa. Nahitaji ekari Zaidi ya 50.
  15. Ally Abdulrahman

    Kigamboni ni sehemu nzuri Sana kuishi Dar es salaam kwa sasa

    Hiv we kw akili zako pale maeneo ya Ma tank makubw ndio kigambon yote duh. Kigambon ni kubwa San Yan. Acha wale waliojiban pale karb na matank fany utembee kwnza MAWENI, MJI MWEMA. VIJIBWENI, GEZA, KISARAWE 2 , MWONGOZ, DEGE, CHEKA, MBUTU, MWASONGA, KIMBIJI, KIBADA, MIKWAMBE Aisee siwez kumaliz...
Back
Top Bottom