Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

Tofauti tofauti. Nafaka Kam vile mahindi,Ufuta, Mpunga. Maharage, pilipili, karoti , vitunguu. Matunda na mboga mboga .

But naamini kupata Ardhi kwnza kitu Ch msingi. Ijapokuw nikipata hat 50 kw pamoj sio mbaya.
Hapo ndipo unapokosea mkuu. Hayo mazao uliyotaja ni nadra yote kustawi kwenye Hali ya hewa ya aina moja, japo yapo ambayo yanaendana.

Kama kweli unataka kulima kibiashara, basi chagua nini unataka ulime. Ila kama ni kwa ajili ya chakula tu, it's okay unaweza lima yote hayo kwenye eneo moja.
 
Ndio maan natk eneo kwnz then nitalim kilimo Ch Biashar kulingan na eneo lenyew
 
Back
Top Bottom