Dereva natafuta ajira.

James_patrick_

Senior Member
Mar 20, 2017
103
194
Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva makini tuwasiliane kwa namba 0655778100 asante.
 
Kw mfano juz Kati nilipita maeneo ya kisemvule nikakut watu wat wamekaa nje ya geti la Simba logistics nikauliza kun nn nikaambiw ni maderev wanatafutea ajira kuna maroli yalikuja hapo mengi.
 
taesa wanazo nafasi za kazi kwa madereva kama una class E kwenye leseni yako na upo Dar es salaam hakikisha unaenda jumatatu...!​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom