Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

Nilitakag kufa Maji mikadi beach 2018. Nilikuw na demu Ila yey Alikuw Maji mafup Mim nilikuw kwny Maji ya kifuani nilikanyag shimo flan nazan nikaw nimekosa balance miguu chin haifik juu nikipand nakunyw vikombe dah sitosahau nilitulia Kam sekunde 5 nikajipa moja kwmb Nisipojisaidia mwnyew Nakufa hapo kw mbali namuona demu anachek anajua Mie sjui nafany michejo au nazingua kumbe Mie Nd nipo na israilu namkataa. Nikajitaidi nimetok Maji mafup dah nilikaa Kam DKK 10 nawaz hiv majamaa walikuw pemben walinielew kilichonikuta nikavaa nguo zang nikamwambie demu twende zet nitakuadisia mbele uko. Sitosahau. Maji ya bahati nayapitia mbali San mpl Leo
 
Nilikuwa naongelea beach msasani na demu muholanzi mwenye asili ya Colombia Sasa tunaenda mbele ghafla nkatumbukia kama kwenye shimo hivi nikawa nazama najiona nakufa kbsa ,akaniokoa alafu baadaye akasema kwao wanafundishwa kuogelea wakiwa na miaka 5 ndomana akaweza kunisaidia ,wakati tukio linatokea yeye ana miaka 20 mim 15....mpaka Leo sijawai gusana na maji ya bahari
Mimi hapo ndipo ninapowashangaa. Badala ya kujifunza kuogelea mnayakwepa maji! Ikitokea ajali mkatumbukia mtafanyaje? Siku hizi kuna mafuriko n.k. Nendeni mkajifunze kuogelea ili msiwe watumwa wa uoga wenu.

Amandla...
 
Kila Moja anasema lake huyu mlete kwanza tumpige X rays hiyo miguu, mwingine mlete huku tumfanyie check up kichwan ile kipimo sijui wanaitaje ila ni kama 700k, mwingine anataka nikasafishwe oyaaa hospital ni nzuri Kwa muonekano tu wa nje 😁nlidungwa sindano afu wanarudia sehemu Moja Kila siku hata ubadilishe hospital
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Oyaaa weee unajua upo comedy sana aiseeee eee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaah kikubwa uzima bana ushapona.
 
Mgodini huko lwamgasa geita,nilikuwa shimoni nachoronga mwamba,kumbe huko juu kuna sehemu ilikuwa na ufa wa muda mrefu tu,kutokana na milipuko ya mara kwa mara hiyo sehemu ufa ukawa unazidi kutokea. siku hiyo nikapiga kaz mimi na jamaa yangu(rip mangu aka ntuzu man)ghafla udongo ukaanza kudondoka kidogo kidogo kiasi cha kutokuhofia chochote.

Machale yakanicheza nikamwambia mshkaji wangu tupande,mi nikatangulia yeye akawa ananifata kwa juu,nikaivuka ile sehemu yenye ufa kwa umbali kama wa mita 4 hivi,ile nimevuka tu nikasikia muungurumo mkubwa sana kumbe ni ile aridhi inaporomoka,ikawa imeshuka na mshkaji wangu mpaka chini kama mita 35 kutokea pale,nilipanda juu kwa kasi ya 5g huku nikiwa nimerukwa na akili kwa kile nilichokiona.
Pole saana mkuu vipi? Uliendelea tena na shughuri za migodini
 
Mimi huwa kunavitu navikumbuka vya tangu nipo na mwaka na miezi japo najua mnaweza msiamini baadhi yenu ila nikimwambiaga bi mkubwa huwa ananishangaa sana
Kuaminisha watu wazima wenzako hayo mambo ni ngumu sana mkuu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa wewe wa mwaka mmoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah kweli ashukuliwe mama samia
 
Serious 4-7 hapana...
Kuna mambo mengine unasema hapa pengine ulikua ujui mybe ilibidi usimuliwe na wale waliokua wanakuona
Mim Kuna tukio nikiwa na miaka 3 nakumbuka kwenye harusi moja hivi,jingine miaka 4 wakati ubalozi wa marekani unalipuliwa nilikuwa maeneo karibu kule ,na nashukuru Mungu sana kitendo Cha kuwa na kumbukumbu ya matukio na watu au kunakili vitu umenisaidia sana kufika mbali kimaisha kwani nimekuwa na majukumu mazuri yanayoiyaji watu wa kumbukumbu nzuri
 
Back
Top Bottom