Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya Mct:
Kama Mdau wa Afya, nimeisoma barua ya wazi ya madaktari tarajali (interns) ya tarehe 21 July.
Nimesikializa press ya madaktari hao ya tarehe 04 August.
Lakini pia nimeona taarifa kwa umma ya Wizara ya Afya ya tarehe...
Kinana, Makamba wajivua uanachama CCM
Ansbert Ngurumo8th February 20200 Comments
MAKATIBU wakuu wastaafu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa chama hicho.
Habari zilizoifikia SAUTI KUBWA zinasema Kinana na Makamba walijiondoa rasmi...
Polisi yataka Netanyahu ashitakiwe kwa madai ya ufisadi
Polisi wa Israel wamesema wamapata ushahidi wa kutosha wa mashitaka ya rushwa na udanganyifu wa fedha kufunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mke wake.
Inadaiwa kwamba Netanyahu na kampuni ya Bezeq telecom...
AGOSTI nane, Jumanne ijayo, umma wa Afrika Kusini utakuwa ukitazama kwenye runinga ya Bunge la nchi kupitia king’amuzi cha DSTV, ama katika chaneli maalumu ya ‘SABC News’ kushudia upigwaji wa kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma.
Chaneli hizo mbili huonyesha moja kwa moja matangazo ya...
Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Cuf limesikitishwa na hatua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kujidhalilisha na kujishushia hadhi kwa kushiriki katika hujuma za Dola dhidi ya CUF.
Mbali na kasoro kadhaa, hata kama ingekuwa kufukuzwa Wabunge hao wa CUF kulikuwa ni halali na kumefanywa na chombo...
Chama kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) cha Afrika ya Kusini kiliwasilisha bungeni maombi ya kuitishwa kwa bunge la dharura ili kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma.
DA waliwasilisha rasmi maombi yao mbele ya Spika Baleta Mbeke, ambapo ikapangwa kuitishwa bunge la...
Vyama hasimu vya kisiasa nchini Afrika Kusini zaidi ya tisa, pamoja na civil societies vimeungana hivi leo kwenye maandamano katika mji mkuu Pretoria wakimshinikiza Rais Jacob Zuma kuondoka madarakani.
Maandamano hayo kuelekea kwenye eneo la Union Buildings, yalipo makao makuu ya serikali...
MAMILIONI ya shilingi ndani ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yaliyotengwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake ndani ya vyama vya siasa nchini, hayajulikani yalipo.
“Ama mamilioni hayo yamekwapuliwa au yametumika isivyopasa,” MwanaHALISI limeelezwa.
Taarifa kutoka ndani ya Ofisi ya...
Tumeona mara kadhaa Jeshi la Polisi likikimbilia mbio kuwashika watu wanaotumia mitandao ya kijamii wanaotukana viongozi wa kisiasa wanaotoka kwenye chama tawala, lakini wanapotukanwa viongozi wa Upinzani huwa wanasema hawana Intelenjesia hiyo. Hivi sasa ni wiki tokea mtu mmoja anayeitwa Abdalla...
The Middle East’s Leading English Language Daily
Tanzania charges whistleblower website owner with obstructing police
World
Tanzania charges whistleblower website owner with obstructing police
Reuters | Published — Saturday 17 December 2016
Maxence Melo Mubyazi, the founder of...
Anasema hotuba yake haikuwa mbaya bali ilikuwa na busara ya kusaidia jeshi la polisi.
Suala la Lugumi halikuwa kwa ajili ya kuidhalilisha serikali bali kulisafisha serikali hasa IGP na Waziri Kitwanga. Lema anazidi kueleza kuwa Waziri wa mambo ya Ndani Mh Charles Kitwanga ni rafiki yake na...
Baraza la Seneti nchini Brazil limeidhinisha kura ya kumfungulia mashitaka rais Dilma Roussef ambapo sasa amemuachia madaraka makamu wake ili mchakato wa kushitakiwa uendelee.
Hayo yamekuja saa chache tu baada ya baraza la seneti nchini Brazil kupiga kura 55 dhidi ya 22 jana Alhamis kumshitaki...
Watanzania vinara kwa kutokuwa waadilifu duniani: utafiti
The British and Dutch are the most honest in the world, while people in Tanzania are the least – and it’s all down to how corrupt their politicians are
Researchers came up with a ‘prevalence of rule violations’ index
It measured...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.