Search results

  1. S

    Sakata la Bandari: Serikali imepoteza mvuto na imani ya wananchi?

    Tukiwa bado tunaendelea na mjadala wa uwekezaji wa bandari na kampuni ya DP World, lipo fundisho kubwa ambalo kama jamii tunapaswa kujifunza. Ukiachilia mbali suala la maudhui ya makubaliano haya, ambapo kuna pande mbili zenye mitazamo tofauti, kuna suala lingine ambalo kwa mtazamo wangu...
  2. S

    Ili tuendelee, tunahitaji Katiba Bora! Tuimarishe Uwazi, Uwajibikaji na Ushirikishwaji

    Katiba Mpya yenye kuzingatia misingi ya demokrasia na yenye kukubalika na Watanzania wengi ni muhimu sana katika kuondoa umaskini, ujinga na maradhi. Upo uhusiano mkubwa sana kati ya Katiba bora na mafanikio katika vita ya kuondoa maadui hawa watatu ambao tumekuwa tukipambana nao toka tupate...
  3. S

    Muswada wa Marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa: Tunahitaji mjadala mpana (Sehemu ya Kwanza)

    Ahsante kwa maoni yako. Nakushukuru. Lakini rejea moja ya paragraph katika andiko langu na hasa linalozungumzia uhuru wa Msajili wa Vyama vya Siasa. Nimeuliza na naomba nikuulize na wewe: Je Msajili wa vyama yupo huru? Yupo neutral na impartial? Hoja ni kuwa Msajili amepwa madaraka makubwa sana...
  4. S

    Muswada wa Marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa: Tunahitaji mjadala mpana (Sehemu ya Kwanza)

    Huwezi kupuuza umuhimu wa kuwa na mjadala mpana hata kama muswada ungekuwa ni mzuri kiasi gani. Umuhimu wa mjadala mpana upo pale pale. Unless kama mnaamini au unaamini kuwa nynyi ndio mnajua kila kitu na nyinyi ndio mna mawazo mazuri. Wengine hatuna mawazo. Na kama unaamini hivyo basi ni...
  5. S

    Muswada wa Marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa: Tunahitaji mjadala mpana (Sehemu ya Mwisho)

    Sehemu ya kwanza imeandikwa hapa: Muswada wa Marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa: Tunahitaji mjadala mpana (Sehemu ya Kwanza) Kipengele cha 5 kinampa mamlaka Msajili kukisimamisha chama au kukifuta chama cha siasa. Kipengele hiki cha 5 pia kinavitaka vyama kukuza na kulinda Muungano wa...
  6. S

    Muswada wa Marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa: Tunahitaji mjadala mpana (Sehemu ya Kwanza)

    Mkuu, Kuna sehemu imeandikwa kuwa tuukatae muswada? Umesoma kilichoandikwa kwa undani? Utaona kuwa kuna maeneo napongeza nia ya waandaaji lakini na mapendekezo yamewekwa. Mapendekezo yanaletwa kwa nia njema. Kama wewe ni miongoni mwa waandaaji, natarajia utasoma kwa kina na kuona hoja ni nini...
  7. S

    Muswada wa Marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa: Tunahitaji mjadala mpana (Sehemu ya Kwanza)

    Serikali imewasilisha Bungeni kwa mara ya kwanza muswada wa marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa. Muswada huu unahitaji mjadala mpana ukiwashirikisha wadau wote ili tuweze kutataua baadhi ya changamoto zilizojitokeza katika uwanja wa siasa, na muhimu zaidi tuweze kusonga mbele na kuimarisha...
Back
Top Bottom