Search results

  1. Mtumpole

    Thamani ya Bima ya basi la Simba sc iliyopo kwenye mfumo wa Bima

    Tunaona basi jipya la timu ya Simba SC yenye bima aina ya Comprehensive iliyokatwa kwa thamani ya TZS. 4,643.87, Bima hiyo ilimekatwa kwa MO ASSURANCE COMPANY LTD. Mamlaka husika ebu fuatilieni thamani ya hii Bima. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mtumpole

    Msaada kwa mwenye Car Diagnostic Software

    Mdau mwenye Car Diagnostic Software kwa ajili ya ku-install kwenye PC (Windows OS) anisaidie.
  3. Mtumpole

    Mwenye kufahamu bei ya HTC One M7, M8 ama M9

    Nataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya? Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku nataka kuinunua nitakuwa Mkoa gani.
  4. Mtumpole

    Nyimbo zifuatazo zimepigwa na bendi gani?

    1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14. 15. 16.
  5. Mtumpole

    Mwenye nyimbo (Weekend & Uzuri Si Shani) naomba anipatie

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122 https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122 Hizo nimezirekodi kwa kutumia simu lakini hazijakamilika, unaweza ukazisikiliza. Aliyenazo naomba anipatie.
  6. Mtumpole

    Matokeo ya Kidato cha 4 ya Hassan M. Dalali

    Nadhani haya ni yale matokeo ya mwanzo February 27, 2013 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Page : 581 QT 2012 RESULTS FOR : M1503 - ZUHRA ISLAMIC SEM CENTRE 0062 M HASSAN MOHAMED DALALI FAILED...
  7. Mtumpole

    CV ya Mh. John M. Shibuda

    Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: John Middle Name: Magale Last Name: Shibuda Member Type: Constituency Member Constituent: Maswa Magharibi Political Party: CHADEMA Office Location: P.O.Box...
  8. Mtumpole

    Hii ilikuwa ni Timu ya Soka ya Taifa(TAIFA STARS) ya mwaka gani?

    Ebu sikilizeni iki kibao pamoja na kuwa na mapungufu ya idadi ya wachezaji waliocheza kutokana na mtangazaji(mwimbaji) akiwataja ni 16. Huu wimbo uliimbwa kwa ajili ya kuwaomba wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa wasijiuzulu warudi kwenye timu ya Taifa (Taifa Stars). Hii ilikuwa ni timu ya Soka...
Back
Top Bottom