Mwenye kufahamu bei ya HTC One M7, M8 ama M9

Mtumpole

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
2,278
1,282
Nataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya?

Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku nataka kuinunua nitakuwa Mkoa gani.
 
Mkuu unataka kununua simu gani kati ya hizo,maana wewe umesema unataka kununua hiyo simu huku ukiwa umeorodhesha modeli tatu tofauti.
 
Nataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya?

Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku nataka kuinunua nitakuwa Mkoa gani.
M7 kimeo usinunue inapata moto sana
 
Nataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya?

Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku nataka kuinunua nitakuwa Mkoa gani.
Kama autokua na sababu za msingi na unataka HTC.basi nunua HTC ONE MAX ni simu inayokaa na chaji.pili ina ram 2gb storage 32 gb.ni mzuri kuliko m8.kwa arusha nenda kwa benson.dar kuna duka lipo msimbazi nitakujulisha maana nilinunua hapo yapata mwaka na sasa.nimeacha kutumia modem tena
 
Back
Top Bottom