Search results

  1. Maho gel

    Naingiaje payroll mpya ya Serikali?

    Wakuu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri
  2. Maho gel

    Matumizi ya cheti kisicho chako, je sheria ya kuzuia inakuwaje!

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na kuacha kazi hataki.Nifuate sheria au taratibu gani Ili aache kazi na asitumie cheti kisicho...
  3. Maho gel

    Play store inasumbua yaani Haisomi kwenye simu nifanyaje?

    Habarii zenuu ladies n gents.Naombenii ushaurii simu yangu inasumbua play storee so nashindwaa, kudownload app mbalimbali kama wasap coz haifungukii, Je nifanyajee? Naombenii ushaurii wenu tafadhalii
  4. Maho gel

    Niweke dawa gani kwenye nywele?

    Habari zenu mabibi na mabwana, Nywele zangu ni natural, nyeusi na kipipili lakini siyo ngumu sana.Sijawahi weka dawa sasa nahitaji kuweka dawa kwa mara ya kwanza, Je nitumie dawa gani itakayonifaa, lakini pia ipi nzuri ya kopo au ya boksi? Naombeni ushauri wenu.Tafadhali
  5. Maho gel

    Mwalimu wa literature na Kiswahili

    Naitwa mwalimu Mahenge nahitimu mnamo mwaka huu mwezi wa sita katika chuo kikuu cha dar.es.salaam natafuta tempo baada ya kumaliza kwa masomo ya literature na kiswahili namba zangu ni0766633753' 0719136187 asanteni sana.
  6. Maho gel

    Mwalimu wa literature na kiswahili

    Naitwa madam Mahenge nipo chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka wa mwisho nasomea ualimu kwa hiyo natafuta tempo baada ya kumaliza chuo.Namba zangu ni 0766633753'0719136187 Asanteni sana
  7. Maho gel

    Mapenzi yananitesa sana

    Hi guyz habari zenu jamani. Mwenzenu kuna mwanaum nishawahi kuwa nae kimahusiano kutokana na tabia za uhuni nliamua kumuacha kwa sasa miaka miwili,tatizo ni kwamba nimejaribu kumsahau lakini nafsi yangu inakiri kumuhitaji. Najaribu kumsahau lakini nafsi yangu inadai yule ndo ninaempenda...
  8. Maho gel

    UDSM UE is around

    Habari zenu wakuu. Zikiwa zimesalia takribani wiki mbili hivi watu kumalizia test two zao ili wapate course work nakuingia UE, inayoanza mnamo tar 23 JUNE - 4 JULY ,kipindi hiki huwa nikigumu sana kwetu sisi wanafunzi wa UDSM kwa maandalizi , kwani ni kipindi cha shida na mateso, pale...
  9. Maho gel

    Tatizo la mahusiano

    Jamani nimeshawahi kuwa katika uhusiano mwaka uliopita na mvulana mmoja ambaye nilimpenda sana , Lakini kuna siku aliniazima simu yake ndipo nilipoziona meseji ambazo alikuwa anachat na ex gel friend wake. Walikuwa wakinijadili wakati huo alisema ameshaachana naye mfano, huyu mvulana alikua...
  10. Maho gel

    Laptop ya mkopo

    Jamni natafuta laptopmpya nina 300000 sasa ninaomba kujua sehemu ambayo wanaweza kunipa lakini nimalizie hela baadae nna soft copy nyingi jamani naomba mnisaide ushauri au sehemu wanazokopesha na ushauri, nipo dar chuo cha mlimani
  11. Maho gel

    Laptop ya kulipa pesa kidogo kidogo

    Jamani m ni mwanafunzi udsm tatizo ni kwamba nina softcopy nying na hela nliyonay ni 300000 , hivo siwez pata laptop mpya nzri so kawa mtu anayejua sehemu ambay wanaokopokesh, au sehem ambayo naweza kulipa kidogo kidogo ili nipate mpya na siyo used jamani. NA MWENYE USHAURI JUUU YA HILO NO...
  12. Maho gel

    Hisia zangu jaman

    jamani n muda mrefu sana tangu nlipowahi kuwa close na guy (hug) am not experience wat sex is bt through hugging nlipata kujua on how its good to be touched with some body with differnt sex. samtimes huwa napnd niwe na a guy tupendanae but naishia kupendwa na watu nisio na hisia nao na watu...
  13. Maho gel

    Hisia zangu nizifanyeje?

    Ndugu zangu ni muda mrefu tokea nikumbatiwe na mpenzi wngu takribani miaka sita nyuma , nimekuwa na hisia za mapenzi kwa muda mrefu na kitu kinachoniumiza most of the guys who loves me sina feelings nao, lakini muda mwingine inatoke mvulana ninaye mpenda akawa tayari kwenye mahusiano.. Hii...
Back
Top Bottom