Search results

  1. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    JF BEING USED BY JEWS TO CONDEMN IRAN!!! Tanzania has nothing to do with Iran’s internal affairs Our cooperation is based on mutual respect Let’s not interfere in Iran’s internal affairs if we cannot interfere in ZNZ’s Some well-intentioned Premium members of...
  2. L

    Nani atakuwa Rais muokozi wa Tanzania?

    NANI ATAKUWA RAIS MUOKOZI WA TANZANIA??? Ni lazima atoke upinzani Mwana-CCM yoyote hafai, hata akitoka mbinguni Bila ya upinzani kuungana, mengine yote ni ndoto ya mchana Wakati ndugu zetu wa ZNZ tayari washajua nani atakuwa Rais wao baada ya uchaguzi wa 2010, sisi kutoka Bara...
  3. L

    Cuf ikishinda 2010, znz kuwa peponi tena!

    CUF IKISHINDA 2010, ZNZ KUWA PEPONI TENA! ZNZ kurejea kuwa The Capital of East Africa Union Bridge kuimarisha Muungano zaidi Muandishi wa Wagagagigikoko aliefuatana na Jean Touchatte - yule diplomat kutoka Canada alieondoshwa Tanzania bila ya hata kupigwa kofi moja kwa...
  4. L

    Wagagagigikoko News: Definition mpya ya muungano na Rais ajaye ZNZ!

    BREAKING NEWS…..BREAKING NEWS!!!!! · Wagagagigikoko on top of news again · Safari hii kuhusu Rais ajae wa ZNZ baada ya Karume · Muungano kupata new definition (By a Special correspondent on Union matters) Nairobi, Kenya. Habari zilizoingia sasa...
  5. L

    Habari moto moto cuf marufuku znz!

    Habari tulizozipata sasa hivi zinazosikika tokea jana mchana kutoka kwa ving’weng’we wa siasa hapa mjini Dar Es Salaam zinasema kuwa CUF inatapia roho huko Zanzibar na wengi katika ving’weng’we hao hawana tamaa kama CUF itaishi mpaka January 12, 2010. “The Zanzibar Attorney General has enough...
  6. L

    Tanzania imekwisha??

    Ndugu wana-ukumbi, Juzi, Sunday, nilipata nafasi kula dinner na rafiki yangu mmoja wa zamani ambae anafuatilia sana mambo ya kwetu na kabla hajapata moja baridi moja moto nikamuuliza “ What’s wrong? Are we the cursed children of Israel? Akacheka sana na huku akinieleza nikae kitako kwanza...
Back
Top Bottom