Ndugu wana-ukumbi,
Juzi, Sunday, nilipata nafasi kula dinner na rafiki yangu mmoja wa zamani ambae anafuatilia sana mambo ya kwetu na kabla hajapata moja baridi moja moto nikamuuliza Whats wrong? Are we the cursed children of Israel? Akacheka sana na huku akinieleza nikae kitako kwanza.
Jamaa akaanza maelezo yake kwa kunieleza kuwa Wakulaumika ni JK, kwasababu he underestimated the power of his wapambe. Pili, chaguzi zetu siku hizi zimezidiwa na pesa. Kama huna pesa CCM hutopata kuchaguliwa mama Sofia Simba anajua hilo pia, akanieleza.
JK kawaruhusu watu wachangie hasara zake za uchaguzi bila ya kuweka kiwango (ceiling), na pia wala hakuwa anaulizia pesa anazopata za uchaguzi zilikuwa zikitoka wapi, as a result hawezi hivi sasa kuwafanya lolote hao akina Rostam, Chenge, Lowassa, etc hata kama kesho wakimuua mtu. Hapo akafafanua kwakusema kuwa Kila nchi leo inakubali private contributions kwaajili ya chaguzi, lakini sio amount kubwa kama alizokuwa akipokea JK. Kama mtu katoa half a billion, je, baada ya uchaguzi utaweza kumuweka jela akifanya kosa mtu huyo? Aliniuliza.
JK anajua mambo yote ya rushwa na ufisadi yanayoendelea na yaliyotendeka nchini, but he is powerless. JK anajua nani alokula hela ya Radar. JK anajua kuwa Chenge kakutwa na hela ya Radar, lakini anaogopa kumchukulia hatua za haraka, kwani anaweza kusema mzee zile campaigns zako zilizokuwa zikilipiwa vipi? Je, JK atajibu nini hapo? JK hawezi kumueleza kitu Rostam pia pamoja na hao mafisadi wengine kwasababu wao ndio waliomuweka yeye kitini na sio wananchi. Kosa la JK nikuwa he underestimated the whole situation. Alidhania kuwa akiwa Rais basi atafanya lile atakalotaka yeye. Ile ari yake yote ambayo ilikuwa ikitegemewa imekufa, because he doesnt hold the real power in CCM. Power in CCM is hold by few who have money pesa ambazo zimeibiwa kutoka serikalini.
Jamaa akaendelea kusema kuwa Chenge anaposema kuwa ni mwenye vijisenti tu hio ni kweli kabisa, kwani the bulk of the commission from the purchase of the Radar went to other big guys. Yeye alikuwa akigawa tu na hatujui kama JK nae hakuwahi kumegewa na ndio maana anakaa kimya na hajui amfanye nini Chenge isipokuwa anasema eti kesi nyengine 3 zinakuja. Zinakuja lini wakati ushahidi upo, au anangojea uchaguzi wa 2010 umalizike?.
Akaendelea kijana kunieleza kuwa nisifikirie kama JK anafurahia haya ya ufisadi and in fact anataka kuachia ngazi hio 2010, lakini wapambe hawataki mpaka amalize. Hili sasa ndio linalomharibia afya yake na japokuwa Daktari wake kasema kuwa hana tatizo lolote hio sio kweli, kwani hawezi kusema publicly kama ni mwenye tatizo. Nenda wewe ukayasome maelezo ya Dakatari wake chini ya BP na utaona kuwa besides ya kuwa madaktari wanampima BP yake kila mara, yeye mwenyewe kapewa ile instrument ili ajipime kila siku anapoamka tu. Sasa kama wewe mtu huna BP na madaktari wanasema you are okay, tena sasa ya nini ujipime kila siku? Aliendelea kudokeza jamaa.
Pia akanieleza kuwa serikali za nyuma ziliharibiwa kidogo na ma-Mama Rais yaani ile ya Sh. Mwinyi by Mama Mwinyi na ile ya Mkapa by Mama Anna. Alinieleza kuwa yeye anamjua Mkapa vizuri sana tokea Foreign Affairs na lake kubwa mzee ni kupata chupa lake la Whiskey na siku yake imekwisha. Yeye hakuwa mtu wa tamaa kama inavyotangazwa na wapinzani. Mambo mengi yaliopita yeye hakuwa akiyajua au anapoyajua inakuwa too late na kwahivyo uamuzi wa busara unashindikana. Deal ya Kiwira ni baina ya Yona na Mama Mkapa. Mkapa kaelezwa mwisho tu and NOT in detail. Kampuni ya AnnBen Mkapa wala hakuijua. Hio ilikuwa idea ya Yona kwa mama Mkapa. Ni Yule mama Anna na wapambe wake walioleta balaa lote hili na mengi mengineo. Mkewe Mkapa Anna ni Mchaga na Mchaga ni kama jirani zako Wapemba wanavyopenda pesa sana. Pia usisahau kuwa Anna kazaa na Mramba na kwahivyo Mramba alikuwa anapo pakutegemea kwa ufisadi wake. Alikuwa akienda Ikulu mara kwa mara kuliko mawaziri wengine, kwasababu ya kisingizio cha huyo motto waliozaa. kaendelea jamaa. Alipofikia hapo mimi nikamkatisha kwani niliona kuwa anaanza kuwa too personal na hio haitosaidia kitu. Labda wakati huo ni kwasababu alikuwa anaimaliza beer ya 4.
Kwahivyo, nikamtoa huko na nikamuuliza kama ipo any hope for our country, nae akasema kuwa there is no hope kwasababu JK itabidi aendelee na katika kipindi chapili hatofanya kitu kuhusu ufisadi. In fact jamaa kasema kuwa in the 2nd round ufisadi utashamiri zaidi, kwani hicho ni kipindi cha lala salama. Nikazidi kumbana hapo na nikamueleza hivyo ndio hakuna kweli tamaa kwa sisi walalahoi?
Labda tuokolewe na Mola, alinieleza na akasema kwamba ..ni lazima atokee mwanajeshi kijana mwenye cheo cha chini. Achukue nchi kwa nguvu and in 7 days wafikishwe mahakamni mafisadi wote na watakaoonekana wanazo hatia za ufisadi katika nchi wawe-summarily executed baada ya pesa zetu kurejeshwa nchini, kama vile alivyofanyiwa yule Ceacescu wa Romania. Then, CCM na vyama vya sasa vote viwe-banned na wanasiasa wa sasa wote wa CCM wasiruhusiwe tena kugombea public office na baada ya mwaka mmoja uchaguzi ufanyike tena under new parties. New constitution iwe-formulated na kazi za Rais ziwe re-defined. Rais na mawaziri wasiruhusiwe kujihusisha na mambo ya biashara tena. Adhabu ya rushwa/ufisadi kwenye nchi iwe ni EXECUTION!!!. I say, at this point I couldnt stomach what this guy was saying na nilihisi kutaka kutapika, lakini yeye akaendelea kusema kuwa hii idea itakuwa ngumu kufuzu pia kwasababu ya Zanzibar. Nikamuuliza Zanzibar vipi? Akasema mapinduzi ya kijeshi hayatokuwa supported na watu wa Zanzibar kwasababu wao hawajauona ufisadi mkubwa kule kwao kama ule wa Tanganyika. Pia Zanzibar needs CCM to thrive in order for SMZ to exist.
Nikamueleza kuwa kama Zanzibar hawatoiunga mkono serikali ya kijeshi sasa wao sio watatoka tu kwenye Muungano? Akasema ndio, lakini the rate of recovery for Mainland (from the demise of a coup de tat) without Zanzibar itakuwa ni ndogo kama vile kutambuliwa nje au na majirani. We need Zanzibaris to support us in order to succeed.
Kama wao kutoka kwenye Muungano iwe baadae, lakini sio kwasababu ya hayo mapinduzi, aliropokwa kijana. Pia akanielezea kuwa ikiwa Zanzibar haipo kwenye Muungano mapinduzi ya kijeshi Bara yatakuwa milele kama ni uasi tu.
Hapo nikamuuliza, sasa hii ni maanake nini? Akajibu .ni kwamaba hii inamaana maisha ya Taifa lipo kwenye mikono ya JK. Yeye atatufisidi zaidi tu na haya tunayoyaona hivi sasa yataendelea for years to come, kwani we are now caught up in a vicious circle, kwasababu JK nae atahakikisha kuwa atakaemrithi hatompeleka yeye jela au mahakamani na kwahivyo itabidi awe fisadi kama yeye, yaani ataendelea kuficha maudhi na ufisadi wa CCM
Hapo ikabidi nimueleze jamaa kuwa tuondoke, kwani rate yake ya kunywa beer ikawa inazidi sana na mimi nilisahau kuchukuwa credit card nilipoondoka nyumbani!
NOTE FROM ME!
Wewe mwana_Forum mpenda nchi yako, tafadhali, baada ya kusoma maelezo ya huyu jamaa ya hapa juu toa your sincere comments. Wewe unafikiria nini? Ni kweli leo Tanzania tumekuwa caught up in a vicious circle na hakuna njia ya kutoka isipokuwa kufanyika mapinduzi ya kijeshi???? Please, be sincere for our country sake in your comments bila ya kujali kama wewe ni Mpemba, Mchaga, Mkiristo au Muislamu, etc etc.