Search results

  1. M

    NMB App mna shida gani Leo?

    Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma? Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo? Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
  2. M

    Angalizo kwa bima ya afya ya Taifa! NHIF

    Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno. Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
  3. M

    Magari ya kuzoa taka yaadimika Manispaa ya Kinondoni

    Ni mwezi wa pili sasa magari ya kuzoa taka hayaonekani mitaani na badala yake wakusanya ushuru wa taka ndio wamezagaa kukusanya ushuru wakigonga milango na mageti ya wanamtaa! Hakuna taarifa yoyote kutoka kwa watendaji wa mtaa na mabwana/ mabibi afya wa kata juu ya sakata hili. Natambua uwepo...
  4. M

    Maoni yangu kwa TFF, Marefa wa kike wanaharibu mpira

    Ukiangalia michezo ya ligi inayoendelea nchini ikichezeshwa na marefa wanawake mtaniunga mkono. Ukweli marefa hawa wanashindwa kabisa kusimamia zile Sheria 17 uwanjani na wamegeuka kuwa sehemu ya wasababisha makosa. TFF iachane nao na Kama bado wanawahitaji wapewe mechi za madaraka ya chini ili...
  5. M

    Kauli ya Naibu Waziri Katambi itoshe kufukuzwa kazi

    Ni fedheha na aibu kubwa kwa naibu waziri ndugu Katambi kutoa majibu yale ya kudhalilisha vijana wa nchi hii Kwa swali aliloulizwa. Kujibu kuwa vijana ambao hawajafanikiwa kupata mikopo inayotolewa na halmashauri watokako kutokana na fedha kidogo zinazokusanywa na halmashauri ama wingi wa...
  6. M

    Waziri wa Kazi na Ajira anza na hili la kikokotoo kwa wastaafu

    Ikikupendeza Mh. Ndalichako tafadhali sana hebu kairejeshe sheria iliyoanzisha kikokotoo kwa wastaafu bungeni ili ifutiliwe mbali kwani ipo kinyume na haki za binadamu na ni kinyume cha katiba ya jamhuri ya Tanzania. Jenga legacy kwenye wizara hii kwa kuifuta sheria hiyo kandamizi kwa wastaafu...
  7. M

    Wanasheria na watafsiri sheria msaada wenu

    Nawiwa kuombwa msaada wa kutafsiriwa kifungu hiki Cha 84 (2) Cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu namna ya kumpata spika wa bunge. Ni sahihi kusema kuwa nafasi ya naibu spika haijatajwa kwenye ibara hiyo Kama alivyosema Tulia? Ni sahihi Kwa naibu spika kugombea nafasi ya spika...
  8. M

    CWT, TAMISEMI, Hazina na Utumishi husikeni hapa

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja. Mh. Rais wa JMT Madame SSH amakuwa akitoa maelekezo Kwa wizara na idara za serikali ya jinsi ya kutatua kero zinazowakabili wafanyakazi wa Serikali. Moja ambalo alishalielekeza na kuliidhinishia fedha za malipo ni like kundi la wafanyakazi waliopanda madaraja...
  9. M

    Ratiba za masomo kuongezewa muda wa masaa mawili kutakuwepo na malipo ya ziada kwa walimu?

    Waziri wa Elimu katia waraka na ratiba mpya za mihula ya shule jana. Ndani ya waraka huo kaongeza muda wa masaa mawili kwenye RATIBA za shule yaani zianze SAA 2:00 asubuhi hadi SAA 10:00 jioni badala ya SAA 8:00 mchana. Katika kuongeza huku hakuzungumzia malipo ya ZIADA (overtime) kwa walimu...
  10. M

    Upotoshaji wa wateule wa Rais

    Ni Jambo la kusikitisha na kuhuzunisha sana pia lenye kumjaza mhusika hasira pale anapogundua kuwa aliowaamini kuwa watamsaidia katika kusimamia na kumshauri wameguka kuwa wadhalilishaji wa nafasi walizopewa! Mh. Rais, baadhi ya wateule wako hawakupendi na au hawapendi style yako ya kiuongozi...
  11. M

    Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

    Habarini wadau na wanajf wote. Hongereni kwa kuuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuzuia maambukizi mapya ya covid-19. Nauliza Bei mpya ya vifurushi vya internet vya wiki kwa mtao wa tigo vimebadilika kutoka sh 3000/=? nimejaribu kumnunua lakini napata and ya kuwa Sina salio la kutosha...
  12. M

    Hivi ni kweli kuwa watetezi wa CCM mitandaoni waliokuwa kwenye mgomo?

    Kuna ukweli kuwa wale watetezi wa CCM mitandaoni waliokuwa kwenye kamgomo ka kudai kutambulika na kulipwa vizuri kwani nguvu wanaoitumia humu JF na kwingineko haikufanana na buku saba waliokuwa wakilipwa? Kwa ushahidi mdogo tu, ona kina Kawe Alumni et al walivyoibuka Leo baada ya Ile training...
  13. M

    Dar es salaam Commercial bank mbona hivi?

    Kuna jambo limeniskitisha na kunikatisha tamaa kabisa kiasi kwamba sitamani tena kuwa mteja Wa benki hii! Hivi ni sahihi kwa mteja kuomba kujua maendeleo ya mkopo wake kwa maandishi kutozwa sh. 30,000/= na kuambiwa aje baada ya siku tatu? Mbona mabenki mengine unapewa bure na ndani ya dk.10...
  14. M

    Tamisemi, hazina na utumishi nani mhusika?

    Nauliza hivi kwasababu: Walimu walipandishwa madaraja na kunyang'anywa mara mbili hatimaye April mosi 2018 wakaambiwa wamepanda rasmi na hivyo marekebisho ya mishahara yao ingeanza mwishoni mwa mwezi wa April 2018. La kushangaza na kusikitisha hadi sasa yaani mshahara wa January 2019...
  15. M

    Waziri wa kazi na ajira jiuzulu tu kwa kuvurunda!

    Rejeeni mahojiano aliyofanyiwa na mwandishi wa azam tv na kurushwa kwenye taarifa ya habari jana juu ya sheeia mpya ya mafao! Ukimsikiliza vizuri utagundua kuwa hata yeye sheria ile haielewi vyema kwa jinsi anayojiumauma! Kwanini wapewe 25% tu ya lump sum badala ya 100% kama ilivyokuwa mwanzo...
  16. M

    CWT acheni kuwatisha waliokuwa wanachama wenu!

    Kuna ziara zinafanywa na maofisa wa cwt kwenye matawi yao yaani mashuleni. Agenda yao kuu ni kutafuta maoni ya wanachama katika kuiwekea kiraka kama siyo viraka katiba yao baada ya walimu kujiunga ma chama kipya cha chakamwata! Katika moja ya changamoto ni hii wanayoinadi juu ya walimu wote...
  17. M

    Museveni aungana na sekta binafsi kuujenga uchumi wa nchi yake.

    Uganda imeadhimisha siku ya uhuru wake leo na rais wa nchi hiyo Museveni alikagua kikosi cha jeshi na kuwahutubia wananchi wake. Ni katika hotuba hiyo ndipo alipotangaza serikali ya nchi yake kuacha kufanya biashara na kuacha shughuli hizo kufanywa na sekta binafsi. Ni jambo la heri kwa...
  18. M

    Ewura, hivi gesi ya kupikia haina bei elekezi?

    Nauliza hili kwenu mamlaka ya Ewura mnisaidie kwasababu huku Mtongani na kuelekea Ununio bei ya gesi ya mihan mtungi wa kati ni shilingi elfu hamsini sawa na bei ya oryx! Maeneo ya Mkwajuni Kinondoni mtungi wa gas ya mihan ule wa kati unauzwa shilingi elfu arobaini na tano tu. Inakuwaje huku...
  19. M

    TRA ama mpo usingizini au mnamsubiri Rais atamke ndio muhimisike!

    Nimebahatika kutembelea baadhi ya maduka ya jumla na rejareja maeneo ya mtongani na yaliyopo barabara ya kuanzia kona ya kunduchi kuelekea ununio na kuona maajabu! Unanunua bidhaa za zaidi ya shilingi laki mbili na kuomba risiti kisha muuzaji anakuambia mashine ya kutolea risiti ni mbovu...
  20. M

    Meli ya wachina yawahitaji wasio wagonjwa!

    Naomba kuelimishwa hapa kwa hili la meli ya madaktari ya wachina au madaktari wa makonda kutoka china la kuwahitaji watu wasioumwa ndio waingie kwenye meli kufanyiwa uchunguzi na wale wagojwa wamekataliwa na kuelekezwa kuendelea na clinics zao! Nauliza hivi kwasababu vyombo vya habari...
Back
Top Bottom