Dar es salaam Commercial bank mbona hivi?

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,676
6,933
Kuna jambo limeniskitisha na kunikatisha tamaa kabisa kiasi kwamba sitamani tena kuwa mteja Wa benki hii!

Hivi ni sahihi kwa mteja kuomba kujua maendeleo ya mkopo wake kwa maandishi kutozwa sh. 30,000/= na kuambiwa aje baada ya siku tatu?

Mbona mabenki mengine unapewa bure na ndani ya dk.10?

Au ni utaratibu mpya usiojulikana kwa wateja?

Hebu mwenye uzoevu anitoe tongotongo maanake naona Kama nimepigwa!
 
Back
Top Bottom