JF Dr. Naomba mnisaidie hili,
Mume wangu alianza kusikia maumivu kwenye kichwa cha uume anapokojoa baada ya siku kama nne maumivu yaliendelea kupanda juu, baada ya siku kama tatu maumivu yalikoma ukaanza kutoka ute mzito mweupe kama usaha wakati mwingine mpaka chupi aliyoivaa inachafuka...
Naomba mnisaidie mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani,
mimi nina ujauzito wa miezi minne, ni ujauzito wangu wa kwanza, sijaexperience hiki kitu.
Habari zenu JF Doctors.
Naitwa Ruth,
Ninafurahi coz nadhani nina ujauzito, nilipima jana kutumia zile home pregnant test, ikaonyesha positive.
Naomba mnisaidie kujua ujauzito wangu utakuwa na muda gani? Tarehe ya mwisho kuanza MP ni tarehe 29.06.2011, huwa mzunguko wangu ni siku 28-30.
Pia...
Ndugu yangu,
Humwogopi hata mungu?
Nahisi wewe huna dini kabiosa!
Baa zilizopo karibu na makazi ya watu, na yanapiga miziki usiku kucha wewe huoni kama ni kelele.
Ngoma wanazocheza waswahili kila kukicha kumtoa mwali usiku kucha tena wakati mwingine siku mbili mpaka tatu huoni kama ni kelele...
Christopher Mwakasege ni Mhubiri, hana kanisa analoongoza yeye, yeye pia ni muumini wa makanisa ya kikristo kama watu wengine.
Anazunguka Tanzania nzima na nje kufundisha Neno la Mungu.
Ana huduma inaitwa Mana, ina makao yake makuu Arusha.
Proffessionally C. Mwakasege in Mchumi na still...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.